Volkswagen Golf 1.6 TDi 105 BlueMotion SE 5dr
Mwaka - 2010
Mafuta - Diesel
Ina mlango wa nyuma au Hatchback
Gear yake -Manual
Maili ilizoendeshwa -61119
Rangi yake ni Metallic Met Red,
Mengine ina- Cloth Trim, A/C, 16 inch alloy wheels, ABS brakes with Traction Control, Central Locking, Cruise Control, Electric Mirrors, Electric Windows (Front & Rear), Power-Steering, Radio & CD-player, Rear Head-Rests, 5 Door Hatchback, Air Conditioning. 5 seats,
Angalia dashboard yake.
Kama unavyoona gari hii inakula mafuta kiasi kidogo sana yaani 1.6 engine yake.
Gari unalifanyia service muda gani mara baada ya kuitoa bandarini
Kuna hizi gari Volkswagen, model ya Golf Touran TSi 1.4 au 1.6. Naziona ni nzuri muonekano wake na ina nafasi ya kutosha ndani. Vp zinaubovu gani haswa, je upatikanaji wa vipuli ukoje, ulaji wake mafuta ni wa kawaida au ndo jini mahaba. Shukrani
Gari nzuri na ngumu inafaa kwa matumizi ya kawaida vipuri vipo kibao South na Nairobi
Wadau naomba msaada wenu juu ya hii gari,uimara wake na upatikanaji wa spare zake.
Pia itanigharimu kiasi gani mpaka iwe barabarani, iko Japan.
Mazda axela sport, 2004,1990CC,AT,engine code LF, CIF 2850.
Hiyo ni gari ya aina gani
Ndugu ni aina gani ya gari haili mafuta mengi
Revola swali lako lilikuwa pana mno hukutaja walau model mbili tatu za kufanyia ulinganifu, lakini kama umepitia post za nyuma kuna maelezo mengi ya kina kuhusu low fuel consumption vehicles, ambazo nyingi ni zile zizisozidi cc 1500, hebu Fanya ziara tena uone kuna Cami, Duet, IST, nkNdugu mbona Mimi sijajibiwa swali langu? Tokea Jana
Hii kitu bei gani kama hutajali kuniambia hapahapa au pm