Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
nisaidieni nina gari yangu aina ya suzuki aerio kwenye dip stick ya transmission imeandikwa nitumie ATF3317 or equivalent oil ntakujuaje hiyo equivalent oil maana ATF3317 uku haipatikani msaada jamani maana kila oil ninayotumia inasumbua kubadili gear
Bei ni tofauti kabisa kaka, range of 10ml
Ist new model ina bei ya juu zaidi hata ya murano ya 2003...watu bado hajafuatilia vzr
Fundi msaada gar yangu inakausha xna maji na inapata heat mapema nimebadili gasket ila bado ni tatizo nifanYEJE ni engne 3L pick up hilux
Can you define 'New model please?'
Ist ya 2014 au ya 2015?
decomm ni radiator water reserve tank, coolant ni maji spesheli yanayotumika kwenye radiator na reserve tankKagua rejeta kama haivujishi. Kama rejeta nzima kagua mfuniko wa rejeta kama ni nzima. Inawezekana mfuniko unaruhusu maji kuhama kwenye rejeta kwenda kwenye tenki la 'kulanti' bila kuzingatia mgandamizo sahihi.
Na kwa kuwa tenki la kulanti ni dogo maji humwagika nje yakijaa hivyo kwenye rejeta hupungua.
Labda nitoe ufafanuzi,,,yan ukiamua kuagiza murano used ya 2003 kwabei iliyopo online pmj na ushuru wa tra ukiwa na m15 unamaliza kila kitu....wkt kwa ist ya 2008 mpk uwe na angalau 19m
Mkuu mbn zote kwa lugha ya kigeni?
Mkuu unaagiza gari gani?,ningekufanyia clearance nzuri sana kama ungependa niPM
shipping fee lak 6,, mmh gari gani hilo??
Na agent fee usd 400????