Kampuni gani nzuri ya kufungiwa gps system ktk gari langu, pamoja na kulifanya gari langu liwe "bandit car" nitakaloweza kulifanyia monitoring hata kwa kutumia simu yangu!
Wapo wengi tu lakini maarufu ni car track japo gharama zao ziko juu, kama sio gari ya biashara ya kipato kikubwa sikushauri
By then ilikuwa ni kama USD 1000 kwa mwaka sijui kwasasa, LA muhimu kuwa na COMPREHENSIVE INSURANCE, kikitokea chochote bima wanasort out
T
USD 1,000 it means kwa mwezi ni dola 83.30 which is equivalent to Tshs. 166,600/= ni vema niende huko mkuu, hawa bima sometimes ni majanga...! Prado yangu ya 2007 bado naipenda na ni bado mpya, ni vema niwatembelee hawa jamaa! Kuliko kulipia DSTV PREMIUM $ 90 kila mwezi ni bora nikalipe huku!
Watumishi wa serikali hawalipi ushuru unaweza kupata utaratibu kwa mwajiri wako
Habar mkuu naomba kufahamu kuwa gari inapokuwa kiwandan(japan) ile mfano lita1km 12 hv kiwandani uwa wamepanga na matumiz ya ac au bila kutumia ac?
Duh aisee! Anyway kila la kheri mkuu, ila ngekua mm nisingeweka that expensive system for 8yrs old car! Cheers mate
je kutikisika /shaking ya gari ukiwa katika speed 20-40 unasababishwa na nini??
upande wa mbele wa abiria kuna muungurumo wa kukoroma pale gari linapokuwa Linatembea...naomba kujua tatizo linaweza kuwa nini...na sulihisho lake pia!
Swali kwa wanajamvi, hivi ni aina gani ya gari used ndogo, isiozidi tsh 12million ambayo fuel consumption yake yaweza kuwa around 17km/ltre hapa dar. Budget yangu ya mwezi ni wastani nauli ni tsh 5,000 hivyo nikichukua mkopo naweza kuhudumia gari ndogo kwa lita 2 kila siku.
Note: from home to work is 30km go and return.
Swali kwa wanajamvi, hivi ni aina gani ya gari used ndogo, isiozidi tsh 12million ambayo fuel consumption yake yaweza kuwa around 17km/ltre hapa dar. Budget yangu ya mwezi ni wastani nauli ni tsh 5,000 hivyo nikichukua mkopo naweza kuhudumia gari ndogo kwa lita 2 kila siku.
Note: from home to work is 30km go and return.
Ndugu Entim huduma kwenye gari zipo anuwai, kuna ishu ya vipuri service, usafi, ulinzi, bima, kodi mbalimbali nk usiangalie kigezo tu cha mafuta itakugharimu
Hahaha mkuu passo haijapitwa na gari yoyote njian labda ulikua unakutana na suzuki samurai n.k lakini hapo siwezi kuamini kabisaa