Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Kwa wapenzi wa mziki mzuri na mzito lakin gari yako haina buti yakutosha ili uweze kuweka box kubwa la spika nazani hii dizain ya spika zitawafaa sana

Safi sana unauzaje na zinapatikana wapi?
 
Hiyo spika ya ni shallow kwa hiyo haiitaji box kubwa,na power amp ya kupush spika hiyo weka kitu cha kenwood mono D class,,,uzuri wa mono ni kuwa power yote inayozalishwa inaenda kwa muhusika direct tofauti na stereo au four chanel,,watu wengi wanatumia 4 chanel amp wkt wanaspika moja inayotumika kwenye amp na hvyo kupoteza umeme wa betri na kuzalisha joto ndani ya gari pasipo kua ulazma.
 

Attachments

  • 1430548803712.jpg
    17.8 KB · Views: 285
Kwa wapenzi wa mziki mzuri na mzito lakin gari yako haina buti yakutosha ili uweze kuweka box kubwa la spika nazani hii dizain ya spika zitawafaa sana

Bei gani hiyo?
 
Bei gani hiyo?
Mwanza ni laki inch 12 ikiwa kwenye housing ni laki 3..hla ndugu mshana najua wewe una access na nairobi jaribu kuagiza huko maana hata huyu mwenye duka la hapa mwz anazitolea nairobi..baas yake ni heavy and smooth uwez amin
 
Mwanza ni laki inch 12 ikiwa kwenye housing ni laki 3..hla ndugu mshana najua wewe una access na nairobi jaribu kuagiza huko maana hata huyu mwenye duka la hapa mwz anazitolea nairobi..baas yake ni heavy and smooth uwez amin

Pouwa tena nina safari ya huko next week
 
dah hv mimi nkitaka kununua walau ka swift toka japan mpk iingie barabarani nijiandae km sh ngap? kila k2 i mean Cif,kodi,clearing,usajili etc
 
Pouwa tena nina safari ya huko next week

Mkuu mshana jr salaam.

Nami unisaidie kuulizia maana nahitaji kitu kama hiyo inch 10 should do for me..na ukipata utuambie mapema kama vipi nikuagize uje nayo kabisa mkuu!

PLUS:

NINA HITAJI: Tairi za gari size 14 na sports rim in exchange nimpe muuzaji zangu size 13 na wheel cover zake niongezee na pesa kidogo juu! Anyone anamjua anyone atakayeweza kunifanikishia hili? Natanguliza shukrani. Nipo DSM.
 
Last edited by a moderator:

Why unatumia tair za bajajiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Last edited by a moderator:
Why unatumia tair za bajajiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hahaha poa bana...! Ndiyo maana nimetaka kubadili mkuu! Nisaidie kama una ufahamu wa watu wenye kufanya hivyo au mahali...
 
Kwa wale ambao kwenye bodi za gari zao wamejaza antena za kila aina ili waweze kupata usikivu mzuri wa fm radio naomba mzing,oe na mbakize kale kaa antenna orginal na ununue antenna booster hapo chini kwenye picha,,,hila uwez kufunga mwenyewe mpk fundi waya au fundi radio za magari coz kanaitaji kafungwe ndani ya dashboard na pili kanaitaji kapewe voltage
 

Attachments

  • 1430574016585.jpg
    11 KB · Views: 368
Mentor nikianza mwendo nitawajulisha wote halafu wewe takupm
 
Last edited by a moderator:

Hii inaitwa FM booster ukifunga kwenye radio yako unapata frequency 87.0-108 roughly ni kama stations 30 ni kadude kazuri mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…