Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mpo wapi me nipo dar ila kesho naenda tanga vip mna shop huko?
 
Autocom Japan, hii ni kampuni ya kijapani ya kuuza used cars imefungua branch hapa Tanzania Ili kuwa na watanzania kwa karibu zaidi, office zake zipo Quality Center, (ilipo uchumi supermarket) Nyerere Road, Dar es salaam. Me ni mmoja WA staff hapo, so waeza niuliza chochote kuhusu ku-import used cars. Tuko na well maintained cars and reasonable price. Angalia website yetu www.autocj.co.jp for more information
Call /whatssap 0767328063.
 

Mnauza magari tu au na vipuri vyake?
 
Kaka Mshana unaweza nisaidia nikapata gari ndogo kwenye hyo minada ya bandarini? Maake nina shida na gari lkn siwezi fika kwenye hyo minada
 
Kaka Mshana unaweza nisaidia nikapata gari ndogo kwenye hyo minada ya bandarini? Maake nina shida na gari lkn siwezi fika kwenye hyo minada

Ngoja takujulisha inakuwa kila weekend
 
Asante kwa taarifa #mshana jr, ila natumai ntakuwa napata updates za minada kwenye huu uzi. Nadhani huo wa jumatano na leo nitaukosa maana niko mkoa.
 
msaada wadau,juzi tulitoa battery ya Raum kwa ajili ya kumuashia jamaa yetu gari yake,sasa tulivyorudisha vioo vya nyuma vikawa havifunguki kwa automatic i mean ukitumia batani ya dereva haivifunguki mpaka utumie batani ya mlango wake kiufupi ni kama system ya umeme imetibuka...msaada plz
 
Kuna wadau niliwaahidi kuwa nikienda Nairobi wiki hii nitawapa taarifa,
Nimeshindwa kusafiri wiki hii lakini safari IPO, mambo yakikaa sawa nitawajulisheni, nimejitahidi kulikumbuka hili
 

Cheki kama.
child lock haiko on kwen hiyo milango ya nyuma otherwise ni tatizo dogo mwone fundi umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…