Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Autocom Japan, hii ni kampuni ya kijapani ya kuuza used cars imefungua branch hapa Tanzania Ili kuwa na watanzania kwa karibu zaidi, office zake zipo Quality Center, (ilipo uchumi supermarket) Nyerere Road, Dar es salaam. Me ni mmoja WA staff hapo, so waeza niuliza chochote kuhusu ku-import used cars. Tuko na well maintained cars and reasonable price. Angalia website yetu www.autocj.co.jp for more information
Call /whatssap 0767328063.
Usipungue usd 4000
Ngoja takujulisha inakuwa kila weekend
Kaka Mshana unaweza nisaidia nikapata gari ndogo kwenye hyo minada ya bandarini? Maake nina shida na gari lkn siwezi fika kwenye hyo minada
Ngoja takujulisha inakuwa kila weekend
msaada wadau,juzi tulitoa battery ya Raum kwa ajili ya kumuashia jamaa yetu gari yake,sasa tulivyorudisha vioo vya nyuma vikawa havifunguki kwa automatic i mean ukitumia batani ya dereva haivifunguki mpaka utumie batani ya mlango wake kiufupi ni kama system ya umeme imetibuka...msaada plz