Striker0011
Member
- May 21, 2011
- 63
- 17
Bonge la kitu aisee acha kabisa BTW hebu fungua mtandao wa SBT JAPAN kuna vunja bei ya kufa mtu DUET zipo za mpaka USD 300 tuuu
Hivi mkuu Rav 4 ama ist ipi ni uniform zaidi? We nunua kwa kuangalia mfuko na matumizi yako. Ukipata pesa ya kutosha unaweza pata gari ambazo sio uniform sana kama Commodore, Falcon ford, Great wall. Ukitaka we sema tu hizo zote sio japan made
Katika ile foleni ya magari ya jana ya dar kutokana na mvua. Gari yangu iligoma kupiga starter baada ya kuzima engine ila ac ikiwa ON. Hii kitu haijawahi kunitokea kabla,je hii ni dalili kuwa betry ya gari yangu ishaanza kupoteza nguvu.?!
Jamani nimevutiwa na hizi gari ushauri please, inafaa kwa mtu wa kipato cha wastani
MAZDA TRIBUTE( in black colour) VS MAZDA FAMILIA WAGON(in silver colour)
Wadau kuna tatizo limenitokea barabarani nikiwa na Gari mpaka sasa sielewi tatizo nini!. Nilikuwa na overtake Gari nilikuwa speed 90 km/h baada tu ya kumaliza overtake Gari ikawa haitaki kwenda inapiga kelele tu kama kwamba haiko kwenye gia ilinibidi nitoke barabara kuu na kuingia service road na kupaki Gari.nilipofungua bonet sikuona itilafu yoyote gearbox hydraulic ilikuwepo nikacheki oil pia ipo.baada kama ya dkk 3 nikaizima. Nilipotaka kuiwasha ikagoma nikajaribu kama mara3 ikagoma nikaiacha. Nilikuwa na watu nimewabeba ikabidi niwaombe radhi siwezi kuendelea na safari wakashukuru wakaondoka. Nilikaa kama dkk 10 nikajaribu kuiwasha tena ikakubali nilipojaribu kuingiza gia ikaingia ni automatic,nikajaribu kuondoka ikaenda nikaahirisha safari nikarudi kupaki Gari lakini mpaka sasa inatembea je tatizo laweza kuwa nini wadau?

Mkuu Habari za siku. Ile changamoto ya gari yangu, RAUM new model kula mafuta bado sana, bado liko pale pale.
Nilienda kuwaona mafundi wa garage BICO pale UDSM, wakanishauri kubadili plugs, nimebadili lakini matokeo ni yale yale, gari inakula mafuta kupitiliza.
Mkuu kwa ulaji huu wa mafuta, tutashindwa kwenda UGWENO likizo kwa babu na bibi yao mzaa mama.
Aisee pole sana itabidi sasa ufanye diagnosis ya mashine
Mentor nakukumbuka usione kimya sijaweza kusafiri bado kama nilivyoahidi, ila nitakujulisha na wale wengine pia nikisafiriMkuu mshana jr salaam.
Nami unisaidie kuulizia maana nahitaji kitu kama hiyo inch 10 should do for me..na ukipata utuambie mapema kama vipi nikuagize uje nayo kabisa mkuu!
PLUS:
NINA HITAJI: Tairi za gari size 14 na sports rim in exchange nimpe muuzaji zangu size 13 na wheel cover zake niongezee na pesa kidogo juu! Anyone anamjua anyone atakayeweza kunifanikishia hili? Natanguliza shukrani. Nipo DSM.
Asante mkuu. .Vp spea zake zinapatikanaKatika hizo gari nimewahi kutumia hiyo mazda familia ni nzuri hata matumizi ya mafuta ni mazuri ningekushauri uchukue hiyo.