Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Bonge la kitu aisee acha kabisa BTW hebu fungua mtandao wa SBT JAPAN kuna vunja bei ya kufa mtu DUET zipo za mpaka USD 300 tuuu

Sogeza bandari ya bongo wakutoe mimba sasa... Bei ya kuitolea si mchezo halafu wanapandisha kimya kimya
 
Hivi mkuu Rav 4 ama ist ipi ni uniform zaidi? We nunua kwa kuangalia mfuko na matumizi yako. Ukipata pesa ya kutosha unaweza pata gari ambazo sio uniform sana kama Commodore, Falcon ford, Great wall. Ukitaka we sema tu hizo zote sio japan made

Nashukuru kiongozi, nimekusoma vema sana
 
Katika ile foleni ya magari ya jana ya dar kutokana na mvua. Gari yangu iligoma kupiga starter baada ya kuzima engine ila ac ikiwa ON. Hii kitu haijawahi kunitokea kabla,je hii ni dalili kuwa betry ya gari yangu ishaanza kupoteza nguvu.?!
 
Mfumo wa umeme umepata shida, lazima kuna short kutokana na maji, jana pale jangwani kuna jamaa alikuwa na VW Tourage baada ya kupita yale maji pale kwenye dashboard taa zote za tahadhari ziliwaka japo gari lilikuwa linatembea nilitamani nimkaribie nimwambie asiendelee kudrive kwakuwa tayari kwenye mfumo wa umeme kulishapata hitilafu
 
Jamani nimevutiwa na hizi gari ushauri please, inafaa kwa mtu wa kipato cha wastani
MAZDA TRIBUTE( in black colour) VS MAZDA FAMILIA WAGON(in silver colour)
 
Attachments

  • BF402210_db0a81.jpg
    BF402210_db0a81.jpg
    27.6 KB · Views: 386
  • BF394099_e79203.jpg
    BF394099_e79203.jpg
    35 KB · Views: 385
wadau natafuta cresta gx 100 ,iwe katika hali nzuri vitu kama AC ifanye kazi.iwe na uwezo wa kutoka dar hadi mombasa. bajeti yangu m 6. please please please mi mwenyewe mtoto wa mjini gari famba staki tusipotezeane muda na magari mabovu
 
Jamani Kuna Gari ninataka kununua ni Chevrolet cruize vipi vifaa vyake vinapatikanaaa?
 
Wadau kuna tatizo limenitokea barabarani nikiwa na Gari mpaka sasa sielewi tatizo nini!. Nilikuwa na overtake Gari nilikuwa speed 90 km/h baada tu ya kumaliza overtake Gari ikawa haitaki kwenda inapiga kelele tu kama kwamba haiko kwenye gia ilinibidi nitoke barabara kuu na kuingia service road na kupaki Gari.nilipofungua bonet sikuona itilafu yoyote gearbox hydraulic ilikuwepo nikacheki oil pia ipo.baada kama ya dkk 3 nikaizima. Nilipotaka kuiwasha ikagoma nikajaribu kama mara3 ikagoma nikaiacha. Nilikuwa na watu nimewabeba ikabidi niwaombe radhi siwezi kuendelea na safari wakashukuru wakaondoka. Nilikaa kama dkk 10 nikajaribu kuiwasha tena ikakubali nilipojaribu kuingiza gia ikaingia ni automatic,nikajaribu kuondoka ikaenda nikaahirisha safari nikarudi kupaki Gari lakini mpaka sasa inatembea je tatizo laweza kuwa nini wadau?
 
Jamani nimevutiwa na hizi gari ushauri please, inafaa kwa mtu wa kipato cha wastani
MAZDA TRIBUTE( in black colour) VS MAZDA FAMILIA WAGON(in silver colour)

Katika hizo gari nimewahi kutumia hiyo mazda familia ni nzuri hata matumizi ya mafuta ni mazuri ningekushauri uchukue hiyo.
 
Wadau kuna tatizo limenitokea barabarani nikiwa na Gari mpaka sasa sielewi tatizo nini!. Nilikuwa na overtake Gari nilikuwa speed 90 km/h baada tu ya kumaliza overtake Gari ikawa haitaki kwenda inapiga kelele tu kama kwamba haiko kwenye gia ilinibidi nitoke barabara kuu na kuingia service road na kupaki Gari.nilipofungua bonet sikuona itilafu yoyote gearbox hydraulic ilikuwepo nikacheki oil pia ipo.baada kama ya dkk 3 nikaizima. Nilipotaka kuiwasha ikagoma nikajaribu kama mara3 ikagoma nikaiacha. Nilikuwa na watu nimewabeba ikabidi niwaombe radhi siwezi kuendelea na safari wakashukuru wakaondoka. Nilikaa kama dkk 10 nikajaribu kuiwasha tena ikakubali nilipojaribu kuingiza gia ikaingia ni automatic,nikajaribu kuondoka ikaenda nikaahirisha safari nikarudi kupaki Gari lakini mpaka sasa inatembea je tatizo laweza kuwa nini wadau?

Kati ya abiria uliyopakia kuna mwenye tatizo
 
Kwa uzoefu ni kwamba gari yako inawezekana ina cc ndogo halafu ukailazimisha itoke kwenye spidi ndogo na kwenda kwenye spidi kubwa ghafla kwakuwa ulihitaji kuovertake
Kilichotokea ni kwamba system ilikubali command yako lakini ikafeli kutokana na nguvu ndogo ya engine hivyo kusababisha hizo complications
 
Mkuu Habari za siku. Ile changamoto ya gari yangu, RAUM new model kula mafuta bado sana, bado liko pale pale.

Nilienda kuwaona mafundi wa garage BICO pale UDSM, wakanishauri kubadili plugs, nimebadili lakini matokeo ni yale yale, gari inakula mafuta kupitiliza.

Mkuu kwa ulaji huu wa mafuta, tutashindwa kwenda UGWENO likizo kwa babu na bibi yao mzaa mama.
 
Aisee pole sana itabidi sasa ufanye diagnosis ya mashine
 
Mkuu mshana jr salaam.

Nami unisaidie kuulizia maana nahitaji kitu kama hiyo inch 10 should do for me..na ukipata utuambie mapema kama vipi nikuagize uje nayo kabisa mkuu!

PLUS:

NINA HITAJI: Tairi za gari size 14 na sports rim in exchange nimpe muuzaji zangu size 13 na wheel cover zake niongezee na pesa kidogo juu! Anyone anamjua anyone atakayeweza kunifanikishia hili? Natanguliza shukrani. Nipo DSM.
Mentor nakukumbuka usione kimya sijaweza kusafiri bado kama nilivyoahidi, ila nitakujulisha na wale wengine pia nikisafiri
 
Last edited by a moderator:
Katika hizo gari nimewahi kutumia hiyo mazda familia ni nzuri hata matumizi ya mafuta ni mazuri ningekushauri uchukue hiyo.
Asante mkuu. .Vp spea zake zinapatikana
kwa urahisi na ni durable?
 
Back
Top Bottom