Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wakubwa mnisaidiee kazi ya OD GEAR pia Gari yangu ina cc 1389 je inauwezo wa kusafiri kilometers ngapi bira kupumzishaaa na bira kuchemshaaa
 
habari za leo wakuu,tuliuziwa gar lkn kwa bahati mbaya lilikopewa bank na muuzaji kaingia mitini,baada ya kukopa bank alienda police na kudai alipotelewa na card hivo akatengenezewa ingine kimbembe kimetokea wakati tumeenda TRA kubadili card,card ikakamatwa,tukamtafuta midle man wa ile biashara na tukamfikisha mahakamani ili amlete mwenzake,je nn kitatokea
 
Hii ndio changamoto ya nchi TRA inapaswa kuwa na wigo mpana wa kuchunguza vyombo vya usafiri hata kadi unaweza iba ukatengeneza mkataba feki ukapewa kadi mpya yenye jina lako. Middleman anaweza kuwa hajui chochote ila atasaidia kumpata mhusika kama wana mawasiliano! Tofauti na hapo angalieni benki ilikuwa inadaiwa ngapi mfanye tathmini kama vipi mlipe, kesi zina gharama!
 
Sante kwa ushauri mzuri Bro Eddy,tatizo lililopo middleman anamkingia kifua muuzaji mana kapewa karibu wiki 3 aende bank kuchukua taarifa zake,lkn hakufanya hivo!
 
habarini wakuu!!! ninaomba ushauri kuhusu suala la kodi za kuingiza gari nchini!! kuna gari ninataka kuinunua ni Nissan Fuga ya mwaka 2005, cc 2490 ,bei yake hadi bandarini dar ni kiasi cha us dollars 2800 ambazo ni sawa na tsh 5,600,000 kwa exchange rate ya sasa,but kuna agent amenidokeza kuwa kodi ntakayopaswa kulipa tra yaweza kufikia 10 m .hali inayonipa mashaka kuagiza gari hii ingawa naipenda sana!! pia naomba ushauri kuhusu vipi upatikanaji wake wa spea hapa tz.naomba mchango wenu wakuu
 

Nenda web ya tra...kuna kalkuleta ya kupiga hesabu ya kodi...fuata maelekezo utajua kodi shahiki
 

Poleni. Huyo "middle man" ameshitakiwa kwa kosa gani?
 
thanks in advance!!! hakuna gharama nyingine zaidi ukiacha za agent?

Hello, kwanza kabisa kodi haiwezi fika 10m, then naomba usinunue Gari kwa agent, unaeza lia, mimi binafsi nafanya kazi na kampuni ya kijapani ya kuuza used cars toka Japan, na kampuni in branch hapa Tanzania office zipo hapa Quality Center, Nyerere Road Dar es salaam, almaarufu kama uchumi supermarket. Njoo ujionee huduma zetu, ukiridhika sawa, naomba nipigie au whatssap kwa 0767328063 au check out our website www.autocj.co.jp for more details
 

Nicheki kwa 0767328063, then nitakupa kodi halisi,
 
Wataalamu wa magari naomba ushauri.

Je kuna uwezekano wa kubadirisha usukani wa RAV4 Kilitime ya 2000 na kuweka wa RAV4 Kilitime ya 2005?
Ule usukani wa RAV4 2000 una shape mbaya na ule wa 2005 una shape nzuri kama inavyo onekana hapa chini.



Na kama uwezekano huo upo, mwenye huo usukani mzuri aniambie ana uza bei yake tufanye biashara. Ni PM kama unao.
 

Aisee kwa uzoefu wangu binafsi Honda hasa hizi RD5 ni gari nzuri sana kwa hali zote kuanzia ulaji wa mafuta ubora wa engine na kukamata barabara
 

CELICA ni gari zenye bahati mbaya Tanzania hasa hizi za kizamani. Hizi za kisasa zinakimbiliwa sana kwa sababu ya fashion
 

CC: N'yadikwa Kaizer RRONDO
 
Last edited by a moderator:

Aisee huyo fundi aliyechomoa wire wa gauge ya temperature usisome ni jambazi na muuaji mkubwa wa hiyo gari
Hebu tafuta fundi makini acheki yafuatayo
-wiring
-radiator n water system ikiwemo pump
-radiator fan
-engine block
-radiator cap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…