High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Mshana hiyo toyota wish inaweza ikawa na bei gani show room used na kwenye ubora anaizidi opamdocho niwie radhi kwa hili lakini Toyota wish ni gari nyanya kwa body hata na vinginevyo hasa huko chini kwenye bushes ball joints na gearbox
Mkuu ni gali ipi inweza kumfaa mtu wa hali ya chidi kuanzia bei,uimara pamoja na matumizi ya mafuta!!!
Tafadhari wadau ni wiki ya pili sasa nateseka na spea ya gari bila mafanikio. Nahitaji puli yenye sensor ya Rav4, 3s, VVti, Yamaha engine. Upande mmoja ina meno 32 upande mwingine meno 23..
Tafadhari hata taarifa za masuper dealer wa spares nitashukuru sana.
Nawasilisha
Si ungemwabia tu zinakopatikana halafu yeye atazifuata, au unataka kumfanyia 'free door delivery'.Upo mkoa gani kamanda.........?........
Safari zake ni home job,but sometimes yakwenda nayo mikoani kwa barabara ya vumbi xana na makolongo mkuu@mshana jr
wadau naombeni kujuzwa kati ya injini ya rav4 3s na 4s ipi yenye nguvu zaidi?
nataka kubadili engine ya freelander2 niweke ya rav4 je ni aina gani inafaa i.e 3s,4s or 5s?
Naomba kuuliza mkuu km una uzoefu na toyota premio uzur na matatizo yake??na ipi engine nzur kat ya D4 16 valve au vvt-i naomba ushauri mwenye uzoefu nayo.
Ningeshauri uchukue vvti, nauza used car from Japan, na customers wengi naona wakipendelea zaidi vvti - wanasema mafundi ndo huwashauri hivo. So I think it's the best
Ahsante sanaa mkuu kwa premio nw unauzaje
Ahsante sanaa mkuu premio mnauzaje