Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

mdocho niwie radhi kwa hili lakini Toyota wish ni gari nyanya kwa body hata na vinginevyo hasa huko chini kwenye bushes ball joints na gearbox
Mshana hiyo toyota wish inaweza ikawa na bei gani show room used na kwenye ubora anaizidi opa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ni gali ipi inweza kumfaa mtu wa hali ya chidi kuanzia bei,uimara pamoja na matumizi ya mafuta!!!

Mdocho gari zipo za aina nyingi tu..labda ungeongeza pia safari zako ni za hom then job au hata masnambani then nitatoa mchango wangu baada ya hapo
 
Safari zake ni home job,but sometimes yakwenda nayo mikoani kwa barabara ya vumbi xana na makolongo mkuu@mshana jr
 
Tafadhari wadau ni wiki ya pili sasa nateseka na spea ya gari bila mafanikio. Nahitaji puli yenye sensor ya Rav4, 3s, VVti, Yamaha engine. Upande mmoja ina meno 32 upande mwingine meno 23..

Tafadhari hata taarifa za masuper dealer wa spares nitashukuru sana.

Nawasilisha

Weka picha na rav4 ya mwaka gani? Hizo spare ni ngapi unahitaji? Umeni changanya hapo
 
Safari zake ni home job,but sometimes yakwenda nayo mikoani kwa barabara ya vumbi xana na makolongo mkuu@mshana jr

Pata hizi gari za nyuma kidogo kina corolla na carina na duet hata cami sio mbaya
 
Safari zake ni home job,but sometimes yakwenda nayo mikoani kwa barabara ya vumbi xana na makolongo mkuu@mshana jr

Ok kama unapendelea salon. .ningekushauri Corona premio hasa yenye engine 7A...ikiwa na D4 engine usithubutu huwa ikiaanza kusumbua ni majanga mafundi hawaziwezi....Then kuna Corolla Van chagua engine 5E au 4E hata 5A ni gari nzuri tu..fuel consumption ni kati ya 12 mpaka 14 km kwa lita moja ....kwa machaguo mengine kuna Toyota Corolla fielder bado itakufaa pia check kwa ambazo amekwisha kueleza bro Mshana jr bado utakuwa umeona variety...ila kama ni mie binadsi napenda zaidi mbili kwenye hizo ya kwanza ni Corolla van kama si hiyo basi ningependa pia corona premio. ..ila kwa machaguo hayo machache unaweza tizama pia moyo wako umevutiwa na ipi na bado utakuwa hujachemsha....hata starlet bado ni kigari cha uhakika kabisa kama uta prefer type hiyo...
 
wadau naombeni kujuzwa kati ya injini ya rav4 3s na 4s ipi yenye nguvu zaidi?


The 3S is a 2.0 L (1,998 cc) inline-four engine with an iron block and an alloy head. While based on the 2S engine of very similar displacement,
Toyota went through the trouble of changing the long stroke dimensions of the 2S, giving it a 2 mm wider bore and a 4 mm shorter stroke,allowing for the fitment of larger valves and enabling higher power outputs.

The 4S is a 1.8 L (1,838 cc), a narrower bore version of the 3S (82.5 x 86.0 mm). This was essentially a multi-valve, twin cam replacement for the 1.8-litre 1S series, with parallel differences as those between the 2S and 3S.

Kiufupi mkuu 3S ni engine kubwa na yenye nguvu zaidi kuliko 4s kwa ukizingatia maelezo hayo hapo juu-na zaidi ya yote Rav4 karibu zote za petrol zina engine ya 3S
 
jaman hivi unaweza kubadilisha tyre za spacio kutoka size 14 mpaka 15 kama unaweza ni pm
 
Msaada..
Nina Toyota Cami ambayo kwa wiki sasa incase nikiizima kwa muda then nikawasha inakawaka na inatulia ila nikiingiza gear inakuwa kama inatetemeka hasa hasa wakati wa reverse.
Niliipeleka garage wakasema ni plug za engine walivyobadili kwa kuweka mpya ikawa ikiwaka after 2-3 minutes inazima akarudisha za mwanzo ikapiga mzigo but tatizo la kutetemeka still lipo. Oil zote ziko safi.
MSAADA WA KITAALAMU TATIZO LAWEZA KUWA NINI?
 
nataka kubadili engine ya freelander2 niweke ya rav4 je ni aina gani inafaa i.e 3s,4s or 5s?
 
Naomba kuuliza mkuu km una uzoefu na toyota premio uzur na matatizo yake??na ipi engine nzur kat ya D4 16 valve au vvt-i naomba ushauri mwenye uzoefu nayo.
 
Naomba kuuliza mkuu km una uzoefu na toyota premio uzur na matatizo yake??na ipi engine nzur kat ya D4 16 valve au vvt-i naomba ushauri mwenye uzoefu nayo.

Ningeshauri uchukue vvti, nauza used car from Japan, na customers wengi naona wakipendelea zaidi vvti - wanasema mafundi ndo huwashauri hivo. So I think it's the best
 
Back
Top Bottom