mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Umetudanganya maana ya ABS na wewe.
ABS (Anti lock brake system)
Wewe endelea ku Google tu terms zinazotumika kwenye magari acha mkuu mshana atupe the real experience.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetudanganya maana ya ABS na wewe.
ABS (Anti lock brake system)
Umetudanganya maana ya ABS na wewe.
ABS (Anti lock brake system)
Hapo nimekusoma jr.ila ni kwann haifanyi kazi vzr kwenye barabara ya vumbi? na hasa ukikanyaga brake ya ghafla.
Vipi kuhusu gari aina ya Dahatsu Terrios au Toyota CAMI
kwenye Bei, vipuri, imara, utumiaji mafuta nk.
Ninavutiwa nayo kwa sababu natafuta gari ndogo kwa mizunguko ya mjini lakini yenye uvungu mkubwa chini kwa kuwa ninapita pia kwenye rough road zenye mashimo mashimo.
hapa nahusika sana hapa.....
Nimeona gari imeandikwa maneno haya kwenye batoni karibu na gear lever ECT PWR na ECT SNOW na ukibonyeza yanaonekana kwenye dash board ni maana na kazi yake?
Ukitaka kupaa kama gar za kwenye movie unafanyaje? Ili kukwepa foleni za dar?
unabonyeza batani imeandikwa 'Paa kama kwenye Muvi'
Kwanza nianze na hiyo ECT kirefu chake ni Electronically Controlled Transmission, kwa urahisi ni batani inayokuwezesha kulipa gari udhibiti binafsi wakati linapopita maeneo yenye changamoto kwake Mf.mlima, mteremko, barafu, tope zito nk ECT kile inafanya ni kupunguza mabadiliko ya Mara kwa Mara ya gia kwa mfano ukiibonyeza hiyo batani ktk PWR mode wakati unapanda mlima automatically gia za kupanda mlima aghlabu 1,2au3 zitakuwa zikijiseti kulingana na ukubwa wa mlima ukiweka batani ktk PWR mafuta zaidi yanatumika Ila injini nguvu yake inaongezeka,haishauriwi uiweke on kwenye normal town cruises, wenzetu kwenye barafu Kama huko Ulaya wanatumia hiyo batani Kama special effect kuwezesha gari kuhimili uterezi kwa sababu ECT huwezesha ongezeko la nguvu ya injini kwa kushabihisha na mzunguko wa injini kwa dkk-rpm, hapa Tanzania hiyo special effect inapatikana zaidi ktk Lexus,Escudos,baadhi ya corolla na mengineyo.Nimeona gari imeandikwa maneno haya kwenye batoni karibu na gear lever ECT PWR na ECT SNOW na ukibonyeza yanaonekana kwenye dash board ni maana na kazi yake?
wakuu mimi swala langu ni kuhusu rotary engines. Hasa kwenye gari aina ya mazda rx8 inatumia mfumo huu wa engine.. Ni engine isiyotumia pistons ila inatumia rotors.
Kwa mwenye uzoefu wa aina hii ya engines, spare zake upatikanaji wake ukoje, matatizo ya engines hizi ni yapi