Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataalamu naomba kujua mambo machache kuhusu uagizaji wa magari nje ya nchi hasa Japan kama ilivyozoeleka. Leo naomba kujua ikiwa nimeagiza gari toka Japan, nimesikia baada ya kulipia saler atakutumia baadhi ya documents ambazo utampa agent wa clearing and forwarding ili aendelee na taratibu mbali2 ili gari likifika isichukeu muda kulitoa. Swali langu nikuwa je agent hawazi kukuingiza mjini kwa kutumia document ilizo mpa? Ni documents gani hutakiwi kutoa ili usipigwe? Wenye kujua nijulishe kuhusu hill.
Bado sijarudi lakini nicheki whatsapp kwa tigo pls
Hamna mtaalam ya hili?
4 cylinder ni nzuri kwa safari ndefu na 6 cylinder kwa safari fupi fupi, kwa maana nyingine 6cylinder for smooth drive and 4 cylinder for sport and long drive.
Poa Mkuu muda ukifika nitakuchekMkuu ma agent wana office usijaribu kufanya shughuli kienyeji kama una shida hiyo ni pm nikukabidhi kwa watu wangu.
Mmh hiyo migari naionaga tu barabarani ikipita spare zake namini hazijatua bongo
Usiogope zimeanza kuwa nyingi na spare naambiwa Nairobi zipo
mshana jr haunitendei haki kwenye ili swali langu, sijapata jibu.Ubora wa toyota carina Ti ni upi?
Mkuu uko vice versa 4 cylinder kwa safari ndefu afu 6 cylinder kwa safari fupi safari???
nakupa mfano mdogo tu huwezi kufananisha Suzuki escudo yenye 4 cylinder na cresta gx100 yenye 6cylinder apo kwenye safari ndefu gx100 ndio itakuwa juu kwasababu iko na engine kubwa yenye piston 6
Nimefatilia Post zoote na nimefurahia sana Huu Uzi
Maswali yangu
Ipi Tofauti kati ya gari hizi
Progress
Brevis
Mark x
Na je Uimara wake ukoje