Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Hamna shaka kabisa nashukuru mno kwa positive respond N'yadikwa! bwt hili jina la wapi kaka?

Alinipa msela wangu chuo ni mnyalu anasema Maana yake MBEGU kwa kihehe alikuwa na sababu kunipa hiyo nickname mkuu
 
Last edited by a moderator:
Wadau nahitaji kujua Fuel consuption ya hii gari na ubora wake,Toyota Ipsum,Model 240s,Engine 2AZ-FE.
 
Wataalamu naomba kujua mambo machache kuhusu uagizaji wa magari nje ya nchi hasa Japan kama ilivyozoeleka. Leo naomba kujua ikiwa nimeagiza gari toka Japan, nimesikia baada ya kulipia saler atakutumia baadhi ya documents ambazo utampa agent wa clearing and forwarding ili aendelee na taratibu mbali2 ili gari likifika isichukeu muda kulitoa. Swali langu nikuwa je agent hawazi kukuingiza mjini kwa kutumia document ilizo mpa? Ni documents gani hutakiwi kutoa ili usipigwe? Wenye kujua nijulishe kuhusu hill.

Agnents wana office, na hiyo ndiyo kazi yao hawawezi kukuliza mkuu. Kusajili cleariong and forwarding company si mchezo mkuu, biashara zote zimalizw ofisini. Kama unahitaji huduma ya clearing tuwasiliane mkuu.
 
4 cylinder ni nzuri kwa safari ndefu na 6 cylinder kwa safari fupi fupi, kwa maana nyingine 6cylinder for smooth drive and 4 cylinder for sport and long drive.


Mkuu uko vice versa 4 cylinder kwa safari ndefu afu 6 cylinder kwa safari fupi safari???

nakupa mfano mdogo tu huwezi kufananisha Suzuki escudo yenye 4 cylinder na cresta gx100 yenye 6cylinder apo kwenye safari ndefu gx100 ndio itakuwa juu kwasababu iko na engine kubwa yenye piston 6
 
Fuga nyingi engine zake ni V6, nini tofauti ya V6 na D4???

Mkuu mshana jr vipi kuhusu spare parts za Fuga mjini hapa, upatikanaji wake??

Mmh hiyo migari naionaga tu barabarani ikipita spare zake namini hazijatua bongo
 
Last edited by a moderator:
Duh! Umenitisha!! Itabidi nirudi toyota tu no way out maana kama spare majanga then sio Tanzanian user friend

Usiogope zimeanza kuwa nyingi na spare naambiwa Nairobi zipo
 
Nimefatilia Post zoote na nimefurahia sana Huu Uzi
Maswali yangu
Ipi Tofauti kati ya gari hizi
Progress
Brevis
Mark x

Na je Uimara wake ukoje
 
Nakubaliana na wewe mkuu ila horse power zinatofautiana kati ya 6 na 4. Pia 4 cylinder YAHAMA waliongezea ujuzi pale na kuifanya 3S engine zilizofungwa kwenye altezza zote za RS200 kuwa more powerful and sport handling
Mkuu uko vice versa 4 cylinder kwa safari ndefu afu 6 cylinder kwa safari fupi safari???

nakupa mfano mdogo tu huwezi kufananisha Suzuki escudo yenye 4 cylinder na cresta gx100 yenye 6cylinder apo kwenye safari ndefu gx100 ndio itakuwa juu kwasababu iko na engine kubwa yenye piston 6
 
Nimefatilia Post zoote na nimefurahia sana Huu Uzi
Maswali yangu
Ipi Tofauti kati ya gari hizi
Progress
Brevis
Mark x

Na je Uimara wake ukoje

Zote machine ni moja lakini kwenye uimara nafikiri body za progress na breviz ni imara ukilinganisha na mark x.
 
Back
Top Bottom