Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
hivi kuna gari za kidada hapa mjini?
Tugari tudogo cc650-2000 ni gari za madada, most likely 'wamehongwa'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi kuna gari za kidada hapa mjini?
Tugari tudogo cc650-2000 ni gari za madada, most likely 'wamehongwa'
Tugari tudogo cc650-2000 ni gari za madada, most likely 'wamehongwa'
Ist preferable
Salama mkuu!
Long time no see🙉
Ist zimekua too much, its good to be a lito bit different. Chukua volvo, ford ama terios (kid)
Niko njiani narudi Dar kaka ngoja kesho nikijaaliwa kufika salama takufanyia mchakato
Hapana mkuu.Alivyosema Richard ndio sahihi, Airbag ikishapachikwa kwenye sterling haiguswi wala sensor haiguswi, Airbag sio kama tunavyobadilisha Oil au spark Plug. Airbag sio hivyo, ikishafungwa pale inasubiri tu ajali itokee ikulinde si zaidi ya hilo.
Jamaa yangu kanunua Suzuki Aerio, nikamuuliza iko poa akasema poa ila spea ni za shida kidogo. Sasa kama kuna anaejua tabia za hii gari atujuze maana mitandaoni naona hazina bei, je zina shida yoyote?
a
Asante sana gear box ikifa si ninaweza weka ingine au nikaibadilisha ikawa automatic?
lusungo kwanza niwie radhi kwa kuchelewa, binafsi sina uzoefu sana na hizo ila kwa utafiti niliofanya kwa watu 2,3 wanaozimiliki wameniambia kuwa ni gari very comfortable ila ni 'handle with care' hazitaki shida na vipuri kidogo bei imechangamka, na hata ulaji wa mafuta kidogo uko juuRufiji,
What is the point of having a balance government based on religion if it is not effective? why fear that if one group is majority then they have an advantage?
Bottom line we are repeating the same nonsense by bitching about religion the same way it done after independence and continued in the past 3 administrations.
It is time to move one and think progressivelly and ask if these apointees can deliver! The foundation of our success is based on efficiency and effectivenes of those who are empowered to run things and not political or religious affiliation.
Kwa nini wabongo tunanunua migari ya kufanana wote? Rav 4 namba1, ist mmmh kero kila gari 5 basi 2ist. Tatizo ni nini?
Kwa subaru ukihamisha gia liva toka d kwenda 3, 2, au 1 ni kuitoa kwenye mfumo wa full automatic kwenda semi manual. mfano kwa kuchagua 1 gari itatembelea gia no. moja pasipo kubadilisha gia. Huwa nyepesi na nguvu nyingi with high engine rev.mkuu bado nasubir kwenye matumiz ya gear 1,2,3 baada ya D kwenye subaru forester