Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #2,041
Tofauti hapo ni cabins na bei kama unanunua lori jipya. , ie, Kama unanunua used kwa ajili ya kazi zako , nunua cabin yoyote unayoona budget yako inaweza,
Top line ni kwa ajili ya safari ndefu kwa madereva Wawili , zina vitanda viwili, makabati Mengi kwa ajili ya kuhifadhia vitu , reserve kwa ajili ya kuweka freezer ,cofee maker na microwave.
Highliner hii ni ya pili kwa ukubwa inatumika katika mazinyira Kama ya top liner ila Ina nafasi kidogo.
Stream liner hii hasa sio cabin type , ila ni jinsi gani cabin inawezo wa kupenyesha Upepo ili kupunguza ukinzani , na hivyo kupunguza matumizi ya mafuta, kwa maana hiyo streamline inaweza kuwa Highline , top line au normal cabin.
Hii ni kiufundi zaidi nami nimeelimika hapa