Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Naomba kuwauliza wajuzi wa magari waniambie uzuri na ubaya wa mazda rx-8 sports car. Nikipata waliowahi kuitumia nitashukuru zaidi.
 
mkuu mshana mimi nashauri pia kama inawezekana uanzishe group la wasap ili kama vipi iwe rahisi kutuma picha su hata video ya tatizo husika wasalamu.
 
Jaman watu wamagari naomba kuuliza . Hiv kuna tofauti kati ya chevrolet na suzuki swift ..
 
Jaman watu wamagari naomba kuuliza . Hiv kuna tofauti kati ya chevrolet na suzuki swift ..

Mmhh aseee unajua watu weng hawaijui hii Chevrolet cruze but utofauti me naona labda body ya gari iraa v2 vingine inalinganaa na swift hata mm na miliki hiyo Chevrolet kuna baadhi ya vifaa inashare na swift
 
Jmn naomba kuuliza ist inalia ka spring za kitanda cha chuma ukiendesha ishu inaeza kua nn
 
Mmhh aseee unajua watu weng hawaijui hii Chevrolet cruze but utofauti me naona labda body ya gari iraa v2 vingine inalinganaa na swift hata mm na miliki hiyo Chevrolet kuna baadhi ya vifaa inashare na swift
mbusage vip ukiiangaliaa hiyo gari uimara wake na nguvu maana ni miongon mwa shortlisting ya gari ninayo itaka sababu ya kuavna diff
 
Last edited by a moderator:
Salaam... napenda kujuzwa ipi bora Kati ya Harrier old model na Rav 4 old model. Maana nafikiria kununua.
 
mbusage vip ukiiangaliaa hiyo gari uimara wake na nguvu maana ni miongon mwa shortlisting ya gari ninayo itaka sababu ya kuavna diff

Mkuu kwa upande wanguu nawezaa kuisifiaa hii gari Chevrolet cruze kiukweli iko poaaa sanaaaa na iko imara me yangu ni namba B ila ni kamaa namba D. Ni imara inabody ngumu kulko swift na inanguvu Sanaa. Uzuri wake ni inadif
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa upande wanguu nawezaa kuisifiaa hii gari Chevrolet cruze kiukweli iko poaaa sanaaaa na iko imara me yangu ni namba B ila ni kamaa namba D. Ni imara inabody ngumu kulko swift na inanguvu Sanaa. Uzuri wake ni inadif

Ahsante mkuu..
 
Wakuu habari naombeni msaada, kati ya Nissan Micra na Daihatsu Terios ipi imara zaidi inayoweza kusafiri mikoani? Na vp spea zake zinapatikana kwa urahisi? Mshana jnr msaada tafadhari!
 
Kuhusu mazda upatikanaji wa spare,fuel economy na durability hususani mazda tribute kwa SUV au mazda atenza kwa sporty sedan!
 
Nahitaji kujua company inayokopesha magari. Kama ipo vigezo na masharti yakoje waheshimiwa tujuzane...
 
Wadau mi ni mgeni jamvini nauliza hivi taa ya seat belt inapoendelea kuwaka hata kama umefunga mikanda yote tatizo linakuwa ni nn....
Nawasilisha
 
kumvumilia yeyote inatafsiri busara na makuzi ya mtu...... tuwe tunajadili issues!!
Yes, na mimi nimejadili issue, tena muhimu kuliko magari ya Gluga na Haria or what have you.

Nimeongelea tatizo sugu nchini, ukiona mtu anasema Toyota Gluga na Toyota Haria na jamii inaona ni sawa ujue kuna tatizo la msingi la kitaifa la semi literacy.

Kuna vizazi vizima, a whole litany of generations, ambavyo vilikwamishwa na kiunzi cha mtihani wa darasa la saba, na kwa walio wengi haukuwepo uwezo wa kujiendeleza kwenye shule binafsi. Ndio unapata kizazo cha Toyota Gluga.

Ukienda Ilala Shauri Moyo watu wanauza maduka ya spea za "Prado Mayai" "Rava fo new modeli" Ukiwatajia make and model hamuelewani. Wanakuuliza "Mayai sio Mayai"? Sijui kama ni mayai, haijaandikwa mayai kwenye tail end... please!

Kama taifa, tunatakiwa kushughulikia hili tatizo la watu wetu, semi-literacy, kwa vizazi vijavyo.

We ndooroooboo kwelu,hivi unadhani nilivyo andika ndio nilivyo?umechemka kwa taarifayako hizo gari zoote mbili ninazo nauliza tu na ukitaka ngeli nipo vizuri kuliko mwl wako kenge wewe
Unazo zote mbili Toyota Kluger na Toyota Gluga?

Yes, ulivyoandika ndivyo ulivyo! Utajitengaje na kituko kilichotoka kichwani mwako? Na hili sio suala la "ngeli," hili ni jina la kitu, Toyota Kluger, hakuna GLUGA!
 
jamani napenda kujua kuhusu suzuki jimmy wide juu ya upatikanaji wa spare, utumiaji wa mafuta pamoja na durability yake.
 
Hili tatizo linaweza kuwa ni nini. Asubuhi ninapowasha gari kwa ajili ya kutoka,nikishaweka gia,D or R inategemea. Sass nikikanyaga acceleretor plate inachukua muda wa dk 2-3 ndio gari inachanganya na kuanza motion. Naombeni msaada wandugu. Gari ni TOYOTA CRESTA GX 100.
 
Back
Top Bottom