Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman watu wamagari naomba kuuliza . Hiv kuna tofauti kati ya chevrolet na suzuki swift ..
mbusage vip ukiiangaliaa hiyo gari uimara wake na nguvu maana ni miongon mwa shortlisting ya gari ninayo itaka sababu ya kuavna diffMmhh aseee unajua watu weng hawaijui hii Chevrolet cruze but utofauti me naona labda body ya gari iraa v2 vingine inalinganaa na swift hata mm na miliki hiyo Chevrolet kuna baadhi ya vifaa inashare na swift
mbusage vip ukiiangaliaa hiyo gari uimara wake na nguvu maana ni miongon mwa shortlisting ya gari ninayo itaka sababu ya kuavna diff
Tayari ndugu japo kwa kuchelewa niwie radhi tu
Mkuu kwa upande wanguu nawezaa kuisifiaa hii gari Chevrolet cruze kiukweli iko poaaa sanaaaa na iko imara me yangu ni namba B ila ni kamaa namba D. Ni imara inabody ngumu kulko swift na inanguvu Sanaa. Uzuri wake ni inadif
Yes, na mimi nimejadili issue, tena muhimu kuliko magari ya Gluga na Haria or what have you.kumvumilia yeyote inatafsiri busara na makuzi ya mtu...... tuwe tunajadili issues!!
Unazo zote mbili Toyota Kluger na Toyota Gluga?We ndooroooboo kwelu,hivi unadhani nilivyo andika ndio nilivyo?umechemka kwa taarifayako hizo gari zoote mbili ninazo nauliza tu na ukitaka ngeli nipo vizuri kuliko mwl wako kenge wewe