Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Nina mazda demio new model imekuwa ikipasua bearing ya mbele mguu wa kulia,imefikia awamu mbili kila nikiweka mpya inapasua,naomba kujua chanzo ni nn!?
 
Samahan naomba kueleweshwa...hivi gar auto kuanzia 2000cc mpaka 1700cc inatakiwa ikimbie kilomita ngapi kwa mda mmoja hafu ipumzishwe injini ukiwa safarin?
 
Nashukuru sana kaka ka ushauri wako mana nimeupeleka kwa Fundi muda si mrefu amenielezea matatizo hayo ulonambia baada ya kuifungua nimemuacha anaendelea kuitengeneza ikipona nitakupa mrejesho
 
ina engine gani?? na je ikizima inawaka hapo hapo au mpaka ukae ipoe kidogo??

kama ikizima ukiiwasha haiwaki hapo hapo mpaka ikae kdg ndio inawaka basi basi crank shaft sensor ndio inaaga aga hiyo.

lakini kama ukiendesha speed ukija ukikanyaga brake na kupunguza mwendo au ukiwa kwenye foleni ndio inazima basi kuna shida kidogo hasa kwenye mfumo wa hewa sana sana.ratio ya hewa na mafuta itakuwa haijakaa vizuri.

mkuu hizi ni ramli lakini.gari ikionekana ndio unakuwa na jibu sahihi

Uko smart. ..."ramli😂😂"
 
Samahan naomba kueleweshwa...hivi gar auto kuanzia 2000cc mpaka 1700cc inatakiwa ikimbie kilomita ngapi kwa mda mmoja hafu ipumzishwe injini ukiwa safarin?

Unaipumzisha engine kwa sababu gani kwani ina heat up?
 
Mambo vp wataalam
Nina gari aina ya carina matako ya nyani
1.Taa ya check engine inawaka muda wote nimepeleka kwa mafundi ila hakuweza kulitatua
2.Ikiwa speed 70 na kuendelea inatetemeka sana sometimes inakosa nguvu kabisa
3.inakula mafuta sana
 
Na mm ndio nataka kununua gari yangu ya kwanza. Unanishaur nini mkuu ninunue showroom ama kwa mtu ambae anaitumia tayar. Maana naona kama mchuz wangu ni mdogo na ninapenda gar ya juu.
 
Mambo vp wataalam
Nina gari aina ya carina matako ya nyani
1.Taa ya check engine inawaka muda wote nimepeleka kwa mafundi ila hakuweza kulitatua
2.Ikiwa speed 70 na kuendelea inatetemeka sana sometimes inakosa nguvu kabisa
3.inakula mafuta sana

upo wapi mkuu kama upo dar au hata kama upo mkoani utafuatwa tuu.sasa cha msingi kabla ya yote kwa kuwa taa ya cheki engine inawaka yatakiwa kwanza utatue hilo tatizo lililosababisha taa ya chek engine kuwaka.

popote ulipo huduma inakufuata kwa aina yoyote ile.
 
Kuuliza si ujinga, jamani hii button ya ECT pwr ni kwa ajili ya nini na wakati gani inatakiwa kuwa on?
 
Kaka me niko mbezi beach
Nipe mawasiliano kk
 
Kuuliza si ujinga, jamani hii button ya ECT pwr ni kwa ajili ya nini na wakati gani inatakiwa kuwa on?

Hii ufahamika kama Electronically Controlled Transmission(ECT) hii button uki weka on ina sababisha gear box kuchelewa ku- change gear hutumika hasa kwenye nchi za barafu
 
Hii ufamika kama Electronically Controlled Transmission(ECT) hii button uki weka on ina sababisha gear box kuchelewa ku- change gear hutumika hasa kwenye nchi za barafu

Na ECT Snow maeneo gani hasa
 
Hii ufamika kama Electronically Controlled Transmission(ECT) hii button uki weka on ina sababisha gear box kuchelewa ku- change gear hutumika hasa kwenye nchi za barafu

Okay, kwahiyo kwa huku kwetu siyo useful.....kuna mtu nilimwuliza akaniambia ikiwa on gari inatumia mafuta kidogo....
 
Okay, kwahiyo kwa huku kwetu siyo useful.....kuna mtu nilimwuliza akaniambia ikiwa on gari inatumia mafuta kidogo....

alichokwambia ni kweli mkuu sawa sawa ukiendeshea gari kwenye 2 L lazima itakula mafuta.
 
Napenda kujulishwa nikinunua gari zanzibar natakiwa kufuata taratibu gani?
Je suala la kodi likoje?
 
Taarifa za gari kuingia ukungu na kufubaa hili tatizo mnalitatua vipi
 
Taa za kuingia ukungu na kufubaa hili tatizo mnalitatuaje wadau
 
Habari wakuu! Nataka kujua ubora wa gari aina ya toyota corolla spacio old model engine 7a-cc 1760 je inaweza kunifaa kwa masafa marefu i mean kusafiri mara kwa mara na ulaji wake wa mafuta?
 
Back
Top Bottom