magigisi junior
New Member
- Jul 17, 2014
- 4
- 0
Nina mazda demio new model imekuwa ikipasua bearing ya mbele mguu wa kulia,imefikia awamu mbili kila nikiweka mpya inapasua,naomba kujua chanzo ni nn!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ina engine gani?? na je ikizima inawaka hapo hapo au mpaka ukae ipoe kidogo??
kama ikizima ukiiwasha haiwaki hapo hapo mpaka ikae kdg ndio inawaka basi basi crank shaft sensor ndio inaaga aga hiyo.
lakini kama ukiendesha speed ukija ukikanyaga brake na kupunguza mwendo au ukiwa kwenye foleni ndio inazima basi kuna shida kidogo hasa kwenye mfumo wa hewa sana sana.ratio ya hewa na mafuta itakuwa haijakaa vizuri.
mkuu hizi ni ramli lakini.gari ikionekana ndio unakuwa na jibu sahihi
Samahan naomba kueleweshwa...hivi gar auto kuanzia 2000cc mpaka 1700cc inatakiwa ikimbie kilomita ngapi kwa mda mmoja hafu ipumzishwe injini ukiwa safarin?
Mambo vp wataalam
Nina gari aina ya carina matako ya nyani
1.Taa ya check engine inawaka muda wote nimepeleka kwa mafundi ila hakuweza kulitatua
2.Ikiwa speed 70 na kuendelea inatetemeka sana sometimes inakosa nguvu kabisa
3.inakula mafuta sana
upo wapi mkuu kama upo dar au hata kama upo mkoani utafuatwa tuu.sasa cha msingi kabla ya yote kwa kuwa taa ya cheki engine inawaka yatakiwa kwanza utatue hilo tatizo lililosababisha taa ya chek engine kuwaka.
popote ulipo huduma inakufuata kwa aina yoyote ile.
Kuuliza si ujinga, jamani hii button ya ECT pwr ni kwa ajili ya nini na wakati gani inatakiwa kuwa on?
Hii ufamika kama Electronically Controlled Transmission(ECT) hii button uki weka on ina sababisha gear box kuchelewa ku- change gear hutumika hasa kwenye nchi za barafu
Hii ufamika kama Electronically Controlled Transmission(ECT) hii button uki weka on ina sababisha gear box kuchelewa ku- change gear hutumika hasa kwenye nchi za barafu
Okay, kwahiyo kwa huku kwetu siyo useful.....kuna mtu nilimwuliza akaniambia ikiwa on gari inatumia mafuta kidogo....
Taa za kuingia ukungu na kufubaa hili tatizo mnalitatuaje wadau
kuna dawa za kusafishia mkuu zinakuwa zinang'aa tena