Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wadau nina vitz clavia, nkiweka mafuta ya 10, 000 yaan lita 5, pale kwenye gauge panaleta bar mbili. Lakini nkitembea mfano kutoka tangi bov mpaka posta then nkirud toka posta nkifika mbuyuni, ile bar ya mwisho ina anza ku blink (kuchezacheza) wadau kwa watumiaji wa vitz, is it normal kwa mafuta ya lita 5 kwa distance hyo gari kuanza kublink ile alama ya E ikiashiria fuel tank imeishiwa mafuta? Au kwa kublink kwa hyo E bado naweza kwenda distance ndefu? Gari yangu ni CC 1290.
Mh! Sijui hizo gari zenu za kisasa zenye bar kwenye gauge. Mie nina Toyota Corolla 110 engine ya 5A ya mwaka 1998, CC 1490 . Naweka mafuta ya 10 mshale wa Gauge unapanda na kuzidi kama 3cm ule mstari wa robo ya mwisho ya tanki. Ila natoka Kisarawe to Mikocheni, then narudi kisarawe na siku ya pili naenda kuongeza mafuta Gapco pale Ukonga Banana. Mind you Kisarawe-Mikocheni B ni 32Km.
Pia nimeshatumia Vitz Rs ambayo engine yake ni kubwa kidogo kwa ya kwako but I had similar experience upande wa fuel consuption. Kwani kutoka hapo Tangi Bovu hadi Posta ni kilometres ngapi?
 
Wadau nina vitz clavia, nkiweka mafuta ya 10, 000 yaan lita 5, pale kwenye gauge panaleta bar mbili. Lakini nkitembea mfano kutoka tangi bov mpaka posta then nkirud toka posta nkifika mbuyuni, ile bar ya mwisho ina anza ku blink (kuchezacheza) wadau kwa watumiaji wa vitz, is it normal kwa mafuta ya lita 5 kwa distance hyo gari kuanza kublink ile alama ya E ikiashiria fuel tank imeishiwa mafuta? Au kwa kublink kwa hyo E bado naweza kwenda distance ndefu? Gari yangu ni CC 1290.
Kwa Vitz hayo ni mafuta ya km 50+ kwahiyo ni sawa kabisa
 
Nimejaribu leo nimejaribu kutembea huku warning sign ya fuel 'E' (empty) ikiwa ina blink, so nimetembea nayo 35 km, but haikuzima wala nn, nkabidi niende petrol station kuongeza.. Ila nahitaji kutest nione mpaka ikizima itakua imetembea km ngapi kwa town trip na sio high way.
 
Ile blinking ni warning kuwa fuel iko low Mara nyingi taa inapoanza kuwaka unaweza kutembea mpaka km 60
 
Nina vits yangu ina tatizo upande wa AC.

Ninapowasha Ac gari huwa inazimika. Sasa sijajua tatizo ni nini na hata fundi nilipompelekea yeye alibadilisha fuel pump ilatatizo bado liko palepale.
 
Hapa unaweza kuta rpm ya engine yako ipo chini so inashindwa contain mzingo wa compressor ya AC, au compressor ya Ac yako mbovu, au umeme wa gari yako ni mdogo kiasi kwamba inashindwa ku-run umeme.. Nawala issue sidhani kama ni fuel pump..
 
Nina vits yangu ina tatizo upande wa AC.

Ninapowasha Ac gari huwa inazimika. Sasa sijajua tatizo ni nini na hata fundi nilipompelekea yeye alibadilisha fuel pump ilatatizo bado liko palepale.
Aisee huo ni ugonjwa usiotibika wa Vitz nyingi nadhani ni kutokana na udogo wa engine na gari zenyewe hizi tunanunua mitumba
 
Wala si udogo wa engine mkuu.. Ukiona gari inazima unapowasha AC tizama idling state yake( yaan pale engne inapokua ina unguruma huku gari haipo kwenye gia wala haujakanyaga accelerator ya gari yako.. Ukiona ipo chini kiasi kwamba engne inatikisika jua kuna tatizo la rpm yako kua chini kiasi cha kushindwa kuhimili mzigo wa compressor pindi ina engage. Au engaging clutch ya AC compressor imechoka, au umeme wa gari ni mdogo mfano betri imechoka.. So cheki haya then solve gari inarudi poa.
 
Noted....!!!!
 
Nataka niagize Nissan tiida au Honda fit vipi hiz gari ulaji wa wese na upatikanaji wa spea zake hapa bingo
 
Jamani kuna Audi A4 nataka chukua lakini sina ujuzi sana na hizi gari. Baadhi ya specifications ni hizi;

Chassis# WAUZZZ8E44A275112
Model Code: GH-8EALT
Version: 2.0
Engine Code: ALT

Nahitaji kufahamu kuhusu hayo hapo juu.
Cheki milage mkuu
 
Back
Top Bottom