BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,458
- 5,352
Millage ni 81k, nshaichukua lakini.Cheki milage mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Millage ni 81k, nshaichukua lakini.Cheki milage mkuu
Aaah mzee umevuta audi A 4 ha ha ha matata sana hyo,,Millage ni 81k, nshaichukua lakini.
Mkuu speed 80 unatembea na RPM 3? Mbona rpm ipo juu sana kwa speed hyo?Wakuu, Toyota IST ikifika speed kuanzia 80 RPM haishuki chini ya 3000RPM. Unavyozidisha speed kwenda 100kph ndivyo RPM inavyozidi kupanda. Kitaalamu ningeweza kuhisi haibadili gia zaidi ya gear no.4 . Je hii inaweza kuwa tatizo gani. Gearbox oil ishabadilishwa na service ya gearbox ilishafanyika. Gari ina nguvu ya kutosha tu ila ndiyo ikishafika hapo inakuwa kama inadai gia zaidi lakini inavuta vizuri
Ndio tatizo lenyewe. Ukivuka 80 lazima rpm ianze kupanda na speed. Mafundi watatu washalishika gari wanasema liko sawa. Mi sio fundi ila nasema haliko sawa. Simply ni kwamba haibadilishi gia kwenda 5. Sijawahi kuendesha IST nyingine ila sidhani kama hii ni sawa hata chembeMkuu speed 80 unatembea na RPM 3? Mbona rpm ipo juu sana kwa speed hyo?
Hahahahab cheusi unazinguaa aseeeLita moja km 13+ ila sio vigari imara engine kama ngumi
Fuse kazi yake ni kulinda,(protection device) ukiunga moja kwa moja ikitokea shoti unaweza kuunguza Gari zima usikubali kaunga temporary wewe tafuta fuse urudishie kwa usalama wa Gari yako.Wakuu naomba kujulishwa hili. Inatokea fuse ya redio au inayoleta moto kwenye dashboard imeingua halafu badala ya kubadilisha, fundi anaiunga kwa kutumia waya halafu anairudishia akidai kwamba haitatokea iungue tena. Je fuse za aina hiyo za kuungwa baada ya kuungua zina madhara yoyote kwenye gari au mfumo wa umeme wa gari?
Nashukuru mkuu. Ngoja nifanyie kazi ushauri wako mapema kabisaFuse kazi yake ni kulinda,(protection device) ukiunga moja kwa moja ikitokea shoti unaweza kuunguza Gari zima usikubali kaunga temporary wewe tafuta fuse urudishie kwa usalama wa Gari yako.
kaka mshana jr mambo vp kaka,naomba msaada wako ndugu, nimenunua garitoyota raum ambayo odometer inasoma 150000km kuna tatizo hapo?vipi ninaweza kwenda nayo kwa safari za mikoani?Fielder ni gari ngumu na kwakuwa tayari unatumia corrola van basi fielder itakufaa sana kwa kila kitu
Sidhan kama nitatizo..ishu ni uzima wa gari....kaka mshana jr mambo vp kaka,naomba msaada wako ndugu, nimenunua garitoyota raum ambayo odometer inasoma 150000km kuna tatizo hapo?vipi ninaweza kwenda nayo kwa safari za mikoani?
kaka mshana jr mambo vp kaka,naomba msaada wako ndugu, nimenunua garitoyota raum ambayo odometer inasoma 150000km kuna tatizo hapo?vipi ninaweza kwenda nayo kwa safari za mikoani?
Fanya service cheki tyre nk haina shidaSidhan kama nitatizo..ishu ni uzima wa gari....
Usisite kitu Mubashara kabisa ile speed comfortability fuel consumption ziko vizuri