Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee mimi mwenyewe nataka hiyoKampuni nyingi tu zinakata hiyo
Wheel aligment wanafanya sehemu nyingi tu ni hela yako, nenda Fortes pale opposite na Uhamiaji, kuna opposite na Stend ya Igombe, unaweza enda Buzuruga tena pale kuna sehemu mbili kwenue zile Sheli mbili na ukitaka za bei rahisi pia ni weweNahitaji kufanya wheel alignment,ninaomba kujuzwa Ni gereji ipi Mwanza ninaweza kufanya hii kitu na gharama zake zikoje?Ahsante.
Gharama zao zikoje mkuu hasa kwa gari ndogo.Wheel aligment wanafanya sehemu nyingi tu ni hela yako, nenda Fortes pale opposite na Uhamiaji, kuna opposite na Stend ya Igombe, unaweza enda Buzuruga tena pale kuna sehemu mbili kwenue zile Sheli mbili na ukitaka za bei rahisi pia ni wewe
Inategemea na sehemu kati ya hizo lkn ya juu kabisa ni 54,000/= na ya chini kabisa ni 10,000/=Gharama zao zikoje mkuu hasa kwa gari ndogo.
Ahsante mkuu,pia nahitaji kupima na nozel na kufanya service ya gear box ya automatic,Vp naweza nikafanyia hapo hapo.Inategemea na sehemu kati ya hizo lkn ya juu kabisa ni 54,000/= na ya chini kabisa ni 10,000/=
Fuel filter check hiti3Samahan ndg zangun. Nina gari yangu aina ya runx inamis. Nmepeleka kwa fund kaniambia plug ziko poa pamoja na sehemu nyingine anasema ziko poa ila tatizo gari inamis ndugu zangu ntatatuaje hili tatizo mshale wa rmp uko juu ya moja na nnaambiwa ina bid ushuke chini ya moja tatizo linaweza kuwa wap ndugu zangu?
Hebu mwambie fundi aangalie coilSamahan ndg zangun. Nina gari yangu aina ya runx inamis. Nmepeleka kwa fund kaniambia plug ziko poa pamoja na sehemu nyingine anasema ziko poa ila tatizo gari inamis ndugu zangu ntatatuaje hili tatizo mshale wa rmp uko juu ya moja na nnaambiwa ina bid ushuke chini ya moja tatizo linaweza kuwa wap ndugu zangu?
Engine oil tafuta ya specification kuanzia 5W30 hadi 20W50 yenye specification kuanzia SJ ila ukipata SN ni nzuri zaidi kwani ndio latest tech. Hizi info zote utazipata kwenye dumu husika la oil. About brand I trust Castrol na Atlantic. Hawa wawili wana pure synthetic oilHello wakuu...nina mambo mawili naomba niulize.
1. Hivi unaponunua shockups za gari...unatakiwa upewe na coil springs au zile zinanunuliwa tofauti?
2. Engine oil best kwa Carina Si ni ipi...huwa natumia SAE 40...je ni sawa???
Gari gani? Je oil level ipo sawa? Inawezekana aliyedrain oil hakumaliza yote so ulipoweka umeoverfill hiyo transmission box.Mkuu nimeka oil genuine cha kushangaza gari kurudi reverse inasumbua na zinaingia via mbili tu za mwanzo.Boss hapa nianzie wapi?
Suzuki escudo,oil level ipo sawa.Ushauri wako nitaufanyia kazi mkuu.Gari gani? Je oil level ipo sawa? Inawezekana aliyedrain oil hakumaliza yote so ulipoweka umeoverfill hiyo transmission box.
Ushauri: nenda kwa watu wenye pump maalumu, drain oil yote kwa gear box, jaza oil kwa mujibu wa specification za gari lako then observe performance
Check engine hiyo... Kama ni gari ya timing belt jua belt imeshaanza kuchokaNgoms Imeniwashia Hivyo, Hata Sijui Naanzia Wapi, Kabla Sijapeleka Garrage naomba Maoni Yenu Wadau View attachment 1488945
Sawa Mkuu, Nitafanya Hivyo, Kuindelea Kuiendesha kwa Misele Ya Town Kuna Madhara?Check engine hiyo... Kama ni gari ya timing belt jua belt imeshaanza kuchoka
Cv-joints hizo za kubadiliHello wadau humu...habari zenu...
Gari yangu Carina Si...nikiwa kwenye mwendo nikikata kona ya kulia...nasikia sauti ikitoka upande wa tairi la kulia ka ka ka ka....nikinyoosha inaisha...vp hii sauti husababishwa na nini???
Aksanteni sana!