Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mkuu mshana naomba ufafanuzi wa mambo yafuatayo,gari ni noah old model.
1.je transmission oil ya gearbox,unapima wakati injini iko off au iko silence,deep stick yake imeandikwa"cold"kwa chini na "heat" kwa juu,sijui maana yake nini.
2.nimefungua bolt ya juu ya diff ya nyuma,oil ikaanza kumwagika,ina maana imejaa,ila ni nyeusi sana,kumuuliza jamaa flani,amesema oil ya diff haimwagwi yote,na kuwekwa mpya,ukibadilisha tu umeua diff,lakini mbona kuna drainage bolt kwa chini wameweka ya nini?,tafadhali msaada mkuu@Mshana Jr

Sent from my HUAWEI MT7-UL00 using JamiiForums mobile app
 
Nitakurudia
 
Transmission fluid ya gearbox na hata engine oil unapima gari likiwa limezimwa tena kwa muda mrefu kidogo..ukipima hizo fluid wakati gari iko inanguruma hutapata kipimo halisi kwakuwa zinakuwa tayari zimeshaingia kwenye mzunguko hasa engine oil
Hiyo dip stick hizo alama zinakujulisha fluid ikiwa imepata moto iwe level gani na ikiwa haijapata moto iwe level gani kwakuwa si kila wakati utapima gari likiwa limezimwa kwa muda
Kuhusu diff huyo fundi kakudanganya hebu ona hii video hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ingawa video haijaja,hata hivyo nashukuru sana,umenipa mwanga mkubwa...
correction;asante nimeona video youtube...shukran mkuu..
 
Ndugu mshana,usichoke kusaidia watu,tumefungua drainage bolt ya diff ili tumwage oil,baada ya kumwaga niliingiza kidole nikahisi kuna vibati viko loose ndani ya diff vinacheza,fundi akasema tufungue kuna shida,baada ya kufungua tukakuta gear zote ni nzima,ila kuna mabati ya stainless steel yamesagika,kulika na kukatika.fundi wangu hajui kazi yake.
SWALI;1.je kazi yake nini?,2:kuna ulazima wa kutafuta mapya,au nifunge tu,bila hayo mabati,,gari ilikuwa haina shida,gari ni Toyota noah,road tourer ya 2000,cheki picha chini@Mshana Jr View attachment 1854050View attachment 1854051View attachment 1854052
IMG_20210714_220052.jpg
 
Transmission fluid ya gearbox na hata engine oil unapima gari likiwa limezimwa tena kwa muda mrefu kidogo..ukipima hizo fluid wakati gari iko inanguruma hutapata kipimo halisi kwakuwa zinakuwa tayari zimeshaingia kwenye mzunguko hasa engine oil
Hiyo dip stick hizo alama zinakujulisha fluid ikiwa imepata moto iwe level gani na ikiwa haijapata moto iwe level gani kwakuwa si kila wakati utapima gari likiwa limezimwa kwa muda
Kuhusu diff huyo fundi kakudanganya hebu ona hii video hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Transmission fluid hu expand when hot na u contract when cold.. na ndo maana deep stick ya gia box ina mark mbili ya cold na hot.. so ukipima wakati transmission fluid ni ya moto ukiweka deep stick the level should be same na ile dot ya deep stick ya hot.. the same applies to when cold..

Kwa gari ambazo hazina deep stick utakuta kuna kidude kimewekwa kwenye drain hole kipo kama ki pipe(over flow pipe). Kile kinapima level ya fluid.. kwamba kama ukifungua na fluid ipo above required amount, basi fluid itatokea kwenye hiyo overflow.. then over flow iki stop kuchuruzika maana yake fluid ipo kwenye ujazo sahihi.

Note: kujaza transmission fluid kupita kiasi kichoitajika ni hatarii kwa automatic gear box and the vice versa too kwa under filling.

Na hakikisha unatumia recommended transmission fluid recommended by your car manufacturer short of that you are ruining the life of your transmission system.

Kwa injini oil unapima ikiwa imetulia(injini ikiwa off kwa muda mrefu kidogo ili kuruhusu oil kujikusanya chini kwenye oil pan ya injini.
 
Ndugu mshana,usichoke kusaidia watu,tumefungua drainage bolt ya diff ili tumwage oil,baada ya kumwaga niliingiza kidole nikahisi kuna vibati viko loose ndani ya diff vinacheza,fundi akasema tufungue kuna shida,baada ya kufungua tukakuta gear zote ni nzima,ila kuna mabati ya stainless steel yamesagika,kulika na kukatika.fundi wangu hajui kazi yake.
SWALI;1.je kazi yake nini?,2:kuna ulazima wa kutafuta mapya,au nifunge tu,bila hayo mabati,,gari ilikuwa haina shida,gari ni Toyota noah,road tourer ya 2000,cheki picha chini@Mshana Jr View attachment 1854050View attachment 1854051View attachment 1854052View attachment 1854053
Mmh gari haikuwa na shida?
 
Injini ya gari Nissan Vannette NV200 inasumbua.
Natamani kununua nusu injini.
Inapatikana kwa kiwango/bei gani?
 
Injini ya gari Nissan Vannette NV200 ya mwaka 2005 inasumbua.
Natamani kununua nusu injini.
Inapatikana kwa kiwango/bei gani?
 
Injini ya gari Nissan Vannette NV200 inasumbua.
Natamani kununua nusu injini.
Inapatikana kwa kiwango/bei gani?
Sikushauri kabisa.. The best nunua engine nyingine.. Nissan ni tofauti na Toyota
 
Back
Top Bottom