Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko njema sana wala usiwaze zaidi
NitakurudiaMkuu mshana naomba ufafanuzi wa mambo yafuatayo,gari ni noah old model.
1.je transmission oil ya gearbox,unapima wakati injini iko off au iko silence,deep stick yake imeandikwa"cold"kwa chini na "heat" kwa juu,sijui maana yake nini.
2.nimefungua bolt ya juu ya diff ya nyuma,oil ikaanza kumwagika,ina maana imejaa,ila ni nyeusi sana,kumuuliza jamaa flani,amesema oil ya diff haimwagwi yote,na kuwekwa mpya,ukibadilisha tu umeua diff,lakini mbona kuna drainage bolt kwa chini wameweka ya nini?,tafadhali msaada mkuu@Mshana Jr
Sent from my HUAWEI MT7-UL00 using JamiiForums mobile app
Transmission fluid ya gearbox na hata engine oil unapima gari likiwa limezimwa tena kwa muda mrefu kidogo..ukipima hizo fluid wakati gari iko inanguruma hutapata kipimo halisi kwakuwa zinakuwa tayari zimeshaingia kwenye mzunguko hasa engine oilMkuu mshana naomba ufafanuzi wa mambo yafuatayo,gari ni noah old model.
1.je transmission oil ya gearbox,unapima wakati injini iko off au iko silence,deep stick yake imeandikwa"cold"kwa chini na "heat" kwa juu,sijui maana yake nini.
2.nimefungua bolt ya juu ya diff ya nyuma,oil ikaanza kumwagika,ina maana imejaa,ila ni nyeusi sana,kumuuliza jamaa flani,amesema oil ya diff haimwagwi yote,na kuwekwa mpya,ukibadilisha tu umeua diff,lakini mbona kuna drainage bolt kwa chini wameweka ya nini?,tafadhali msaada mkuu@Mshana Jr
Sent from my HUAWEI MT7-UL00 using JamiiForums mobile app
ingawa video haijaja,hata hivyo nashukuru sana,umenipa mwanga mkubwa...Transmission fluid ya gearbox na hata engine oil unapima gari likiwa limezimwa tena kwa muda mrefu kidogo..ukipima hizo fluid wakati gari iko inanguruma hutapata kipimo halisi kwakuwa zinakuwa tayari zimeshaingia kwenye mzunguko hasa engine oil
Hiyo dip stick hizo alama zinakujulisha fluid ikiwa imepata moto iwe level gani na ikiwa haijapata moto iwe level gani kwakuwa si kila wakati utapima gari likiwa limezimwa kwa muda
Kuhusu diff huyo fundi kakudanganya hebu ona hii video hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafundi wetu hawa usipomakinika wanaweza kukutia hasara ama kukupa gharama usizostahiliingawa video haijaja,hata hivyo nashukuru sana,umenipa mwanga mkubwa...
correction;asante nimeona video youtube...shukran mkuu..
ndo maana kabla sijafanya kitu,nafanya utafiti kwa ku google na kuuliza watu kama nyie..Mafundi wetu hawa usipomakinika wanaweza kukutia hasara ama kukupa gharama usizostahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sana[emoji817][emoji736][emoji1545][emoji1545][emoji1545]ndo maana kabla sijafanya kitu,nafanya utafiti kwa ku google na kuuliza watu kama nyie..
Transmission fluid hu expand when hot na u contract when cold.. na ndo maana deep stick ya gia box ina mark mbili ya cold na hot.. so ukipima wakati transmission fluid ni ya moto ukiweka deep stick the level should be same na ile dot ya deep stick ya hot.. the same applies to when cold..Transmission fluid ya gearbox na hata engine oil unapima gari likiwa limezimwa tena kwa muda mrefu kidogo..ukipima hizo fluid wakati gari iko inanguruma hutapata kipimo halisi kwakuwa zinakuwa tayari zimeshaingia kwenye mzunguko hasa engine oil
Hiyo dip stick hizo alama zinakujulisha fluid ikiwa imepata moto iwe level gani na ikiwa haijapata moto iwe level gani kwakuwa si kila wakati utapima gari likiwa limezimwa kwa muda
Kuhusu diff huyo fundi kakudanganya hebu ona hii video hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh gari haikuwa na shida?Ndugu mshana,usichoke kusaidia watu,tumefungua drainage bolt ya diff ili tumwage oil,baada ya kumwaga niliingiza kidole nikahisi kuna vibati viko loose ndani ya diff vinacheza,fundi akasema tufungue kuna shida,baada ya kufungua tukakuta gear zote ni nzima,ila kuna mabati ya stainless steel yamesagika,kulika na kukatika.fundi wangu hajui kazi yake.
SWALI;1.je kazi yake nini?,2:kuna ulazima wa kutafuta mapya,au nifunge tu,bila hayo mabati,,gari ilikuwa haina shida,gari ni Toyota noah,road tourer ya 2000,cheki picha chini@Mshana Jr View attachment 1854050View attachment 1854051View attachment 1854052View attachment 1854053
yes mkuu,haikuwa na shida yeyoteMmh gari haikuwa na shida?