Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

WAZEE NINA BAJETI KIDOGO JAMAA ANATAKA KUNIACHIA CROWN ATHLETE NAMBA DRS KWA 7MIL NA HUYU WA CROWN ROYAL NAMBA DRZ ANATAKA NIMPE 6.9 ZOTE ZA 2004/05

NICHUKUE IPI?
 
Inawezeka kubadilisha engine ya petroli kwa engine ya diesel?
I mean kutoka 3Y engine direct enjection ya Toyota Hillux 4wd kwa kuweka 3L Engine 4wd?
Kama inawezekana naombeni msaada kama natakiwa kubadilisha hadi fly wheel, mounting, nk.
Nimeambatanisha engine ya 3Y ( nataka kutoa na kuweka 3L ( 3 images)
20210725_182748.jpg
Screenshot_20210808-224521_Chrome.jpg
Screenshot_20210808-224444_Chrome.jpg
Screenshot_20210808-224555_Chrome.jpg
 
Toyota Porte ya cc 1290 ina changamoto gani kubwa?
je naweza agiza?
mimi napenda space yake tuu
Porte nakushauri chukua 1nz fe 1490 mi nnayo ni gari nzuri sana ina nafasi kubwa...
Cc1290 ambayo ni 2nz fe ulaji ni mkubwa kuliko 1nz 1490..kwasababu 1nz inachangamka fasta hata ukupakia watu
 
Aseeee ka kifaa kangu ka kunisogeza sehemu moja kwenda nyingine

Ni ka toyota succeed.
Ghafla tuu kamegoma kutoka kalipo

Gia inaingia lakini hakaendi

Msaada wenu jamani
 
Back
Top Bottom