Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duhh sawa kiongozi ngoja nione hapaTafuta gearbox nyingine.. Hiyo filament ikishazingua hakuna namna ya matengenezo
Gari ni ipi?? Na huwa unatumia transmission fluid gan? Na kama umekua ukitumia lubex ndo ujue yo transmission clutches for reverse are gone... So shusha gearbox weka clutches or nunua new transmission system mpya.. (mara nyingi rebuilt transmission system lasts short time) na ukisha weka new gear box, avoid using cheap transmission fluids.Wazee samahani gari la automatic limekataa kurudi reverse mwenye uzoef naomba anisaidie,au ambaye alishawah kukutana na hii changamoto
Tatizo limeanzia sehem ambapo samp imeguswa kidg na jiwe
Chukua bila kusita.. Ni mashine kubwa hiyo inastahimili mengiWadau NATAKA KUKIMBILIA BREVIS KAMA GARI YA MISHE ZA KAWAIDA HAPA MJINI NA SAFARI MARA CHACHE MKOANI.
KINACHONIFANYA NIAMUE KUNUNUA BREVIS NI BAJET YA AROUND 10M YARD,
NGUVU YA GARI SAFARINI NA COMFORTABILITY.
USHAURI TAFADHALI HASA WA KIUFUNDI .
NB. KUHUSU ULAJ WA MAFUTA SILIHESABII KAMA TATIZO KWANGU.
Nashukuru sana kiongozi,nmeshauriwa niweke manual transmission kwenye hii hiace,vipi kwa uzoefu wako inaweka kucost shilingi ngapi kila kituGari ni ipi?? Na huwa unatumia transmission fluid gan? Na kama umekua ukitumia lubex ndo ujue yo transmission clutches for reserve are gone... So shusha gearbox weka clutches or nunua new transmission system mpya.. (mara nyingi rebuilt transmission system lasts short time) na ukisha weka new gear box, avoid using cheap transmission fluids.
Nashukuru sana kiongozi,nmeshauriwa niweke manual transmission kwenye hii hiace,vipi kwa uzoefu wako inaweka kucost shilingi ngapi kila kituChukua bila kusita.. Ni mashine kubwa hiyo inastahimili mengi
Kwakweli siwezi estimate costs za hii conversion (yaan automatic to manual) ingawa ukiweka manual transmission kwakua gari ni hiace, utakua umepiga Bingo... Maana hiace yenye automatic transmission kuifanyia biashara uwa ina kua na operations costs nyingi hasa mafuta.. hii nikwakua automatic transmission ina power loss nyingi (because non-direct contact kati ya engine na gearbox hivo kufanya injini kuwa inazunguka kwa nguvu yaan higher RPM kupata speed kwa haraka,) lakini ukiweka manual transmission kwenye hiace yako kwakua ni gari ya kupakia mizigo utaona significant improvement kwenye performance ya gari yako, pia hata fuel efficiency utaongeza significant.. hii nikwakua manual transmission has no power loss (kwakua kuna direct contact kati ya injini na gearbox kuupitia clutch plate) labda kama clutch plate imeisha. Pia manual transmission ni rahisi ku repair.Nashukuru sana kiongozi,nmeshauriwa niweke manual transmission kwenye hii hiace,vipi kwa uzoefu wako inaweka kucost shilingi ngapi kila kitu
Nitashukuru kwa msaada wako!
Nashukuru sana mkuu,nataman nipate estimation ya cost nione nahitaji kiasi gan kwa haraka ili niswitch operation from auto to manualKwakweli siwezi estimate costs za hii conversion (yaan automatic to manual) ingawa ukiweka manual transmission kwakua gari ni hiace, utakua umepiga Bingo... Maana hiace yenye automatic transmission kuifanyia biashara uwa ina kua na operations costs nyingi hasa mafuta.. hii nikwakua automatic transmission ina power loss nyingi (because non-direct contact kati ya engine na gearbox hivo kufanya injini kuwa inazunguka kwa nguvu yaan higher RPM kupata speed kwa haraka,) lakini ukiweka manual transmission kwenye hiace yako kwakua ni gari ya kupakia mizigo utaona significant improvement kwenye performance ya gari yako, pia hata fuel efficiency utaongeza significant.. hii nikwakua manual transmission has no power loss (kwakua kuna direct contact kati ya injini na gearbox kuupitia clutch plate) labda kama clutch plate imeisha. Pia manual transmission ni rahisi ku repair.
Chukua inalipaSalute
Nataka nimvue mtu Alphard kwa lengo la kuitumia kama chanzo cha kipato kwenye usafirishaji.
Target ni kufanya safari ya KM around 400 (go and return=800) kila weekend. I mean kuna gap nimeliona, ijumaa nawabeba watu kwenda sehemu flan, jumapili nageuza.
Naomba uzoefu kwenye Alphard na aina hii ya shuhuli nnayoiwazia.
Sina uzoefu mkubwa kwenye hilo lakini haitakuwa zaidi ya laki5Nashukuru sana kiongozi,nmeshauriwa niweke manual transmission kwenye hii hiace,vipi kwa uzoefu wako inaweka kucost shilingi ngapi kila kitu
Nitashukuru kwa msaada wako!
SaluteChukua inalipa
Hii ntashika mwenyewe mkuu..Ila hakikisha haiwi na mikono mingi
Nashukuru sanaNapo pesa utaiona!
Pole kwa gharama, but hongera kwa kiweka reliable transmission with minimal repair costs... Na ni transmission inayotengenezeka, pia ni fuel efficient.. so hutojutia investment yako unless uwe na dereva reckless.Nimebadili geabox na kuweka ya manual kwenye hiace,nimeweka vifaa nyote original yaan used japan gharama yake ni 2200000 pamoja na fundi dahh.
Huo ulkuwa ni mrejesho kuhusu ushauri nilikuwa naomba hapa.