Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani! Bei JeYuasa kaka
Ukipata fundi mzuri anayezijulia Nissan umeula ukipata kimeo umeumiaWakuu msaada
Kuna mtu ana hela yangu kiasi flan, sasa kwa changamoto alizonazo anataka kunipa nissan atlas zile za zamani kama mbadala wa hiyo hela.
Sina uzoefu kabisa na gari za mizigo. Gani aliitumia muda mrefu then akapaki, akaiamsha tena then imepaki kwa kama miezi 7 ivi. Ila inawaka, inatembea ila haiko stable sana kiasi kwamba anataka kufanya overhaul
Mimi alinishauri ikiwa nitaichukua, nibadilishe engine niweke QD32, nadhani iliyopo sasa ni TD. Pia alishauri nimodify iwe double diff.
Hela yenyewe ninayomdai haizidi 4M.
Imekaa vipi kitaalam hapo? Au nanunua banda la kuku?
AsanteUkipata fundi mzuri anayezijulia Nissan umeula ukipata kimeo umeumia
Asante sana.+255755109090 huyo atakushauri vema
Habari za muda huu msaada naomba msaada wa Kupata Break pad za Honda Crossroad
Ubaya ni kama huo..ww hii hali ya mtu kutafuta Break Pad za gari humu JF unaichukuliaje!?Mzee sorry naomba unijuze uzuri naubaya wa hii gari maana nahitaji kuichukua
Ubaya ni kama huo..ww hii hali ya mtu kutafuta Break Pad za gari humu JF unaichukuliaje!?