Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wakuu msaada

Kuna mtu ana hela yangu kiasi flan, sasa kwa changamoto alizonazo anataka kunipa nissan atlas zile za zamani kama mbadala wa hiyo hela.

Sina uzoefu kabisa na gari za mizigo. Gani aliitumia muda mrefu then akapaki, akaiamsha tena then imepaki kwa kama miezi 7 ivi. Ila inawaka, inatembea ila haiko stable sana kiasi kwamba anataka kufanya overhaul

Mimi alinishauri ikiwa nitaichukua, nibadilishe engine niweke QD32, nadhani iliyopo sasa ni TD. Pia alishauri nimodify iwe double diff.
Hela yenyewe ninayomdai haizidi 4M.
Imekaa vipi kitaalam hapo? Au nanunua banda la kuku?
 
Ukipata fundi mzuri anayezijulia Nissan umeula ukipata kimeo umeumia
 
Mkuu naomba kujua uzur wa suzuki jimy nimeielewa sana je inachangamoto zipi
 
Back
Top Bottom