Mada maalum ya ndege toka FB

๐—ž๐—ช๐—”๐—ก๐—œ๐—ก๐—œ ๐—›๐—˜๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—ข๐—ฃ๐—ง๐—” ๐—›๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฃ๐—”๐—œ ๐—๐—จ๐—จ ๐—ฆ๐—”๐—ก๐—”?

Helikopta hupaa kwa kuzungusha panga zake (Rotors) ambapo husukuma hewa kwenda chini, na kuruhusu Chopa kwenda juu.

Neno 'Chopa' linatokana na sauti ya 'chop chop' pale panga zinapokata upepo.

Lifti inayozalishwa na panga huathiriwa kadri Helikopta inapopanda juu kwani hewa inakuwa nyembamba kadri unavyokwenda angani, hivyo Helikopta huhitaji panga kufanya kazi kwa nguvu zaidi ili kuendelea kuzalisha lifti.

Kwa wastani, helikopta inaweza kuruka futi 10,000 hadi15,000 juu ya usawa wa bahari.
Hata hivyo, urefu huu unaweza kutofautiana kulingana na aina ya helikopta.
Kwa mfano, baadhi ya helikopta za kijeshi zimeundwa kuruka urefu wa juu zaidi.
Urefu wa juu ambao helikopta inaweza kufikia huathiriwa na joto na msongamano wa hewa (Air density & Temperature)

Kuendelea kuruka juu nje ya uwezo wa Helikopta ilivyoundwa (performance envelope), Helikopta itaanza kukosa lifti, kutetemeka, kukosa udhibiti na hata kuanguka.

Ndiyo maana, si ajabu sana kuona baadhi ya Helikopta zikiwa zimegalala juu ya milima mirefu ya barafu kwenye kujaribu kufanya kazi za uokoaji (rescue missions) Panga hushindwa kuendelea kuzalisha lifti au kuganda angani (hovering) hivyo Helikopta kukosa 'balance' na kuanguka.

Marubani wengi wa helikopta huzingatia futi 10,000 kama kikomo cha juu cha urefu bora wa kuruka kwa helikopta za kawaida.

Admin:
Tafsiri ya:
Helicopter forums & Magazine
 
Hapa nimepata madini ya kutosha,elimu kama hii unakaa na watoto wako unawasimulia,wanakuwa wanapata motisha ya kusoma shule.Sio Dunia ya sasa unawasimulia watoto hadithi za Sungura na Fisi kama sisi tulivyokuwa tunasimuliwa.
 
Kama ni 'Test' basi ya kutosha..๐Ÿค”
 
Attachments

  • FB_IMG_1712921245283.jpg
    43.9 KB · Views: 10
FAHAMU MASHIRIKA YA NDEGE MAKUBWA ZAIDI ULIMWENGUNI

Hii ndio orodha ya mashirika ya ndege yenye nguvu zaidi duniani yenye utajiri mkubwa na nguvu kwenye biashara ya kimataifa ya anga. Unaambiwa hapa hata Qatar Airways hawapo itakuaje bombadia zetu? Unaambiwa Ethiopian Airlines hapa ni kama bodaboda hawaingii hata robo kwa haya majabali ya dunia. Anyway list hii hapa :
1. Delta Airlines
Ni shirika tajiri na kubwa zaidi la ndege duniani lenye mtaji wa zaidi ya dola bilioni 56 za Marekani. Ni shirika la ndege la Marekani japo haliendeshwi na serikali. Unaambiwa linafanya safari zaidi ya 4,500 kwa siku moja duniani kote. Lina utitiri wa ndege.

2. American Airlines
Ni Shirika la ndege la Marekani pia lenye utajiri wa zaidi ya dola za kimarekani bilioni 52. Linapatikana Marekani pia

3. United Airlines
Ni Shirika la ndege lenye utajiri wa zaidi ya dola za kimarekani bilioni 48. Linapatikana Marekani pia.

4. Lufthansa
Ni shirika la ndege kubwa zaidi barani Ulaya la Ujerumani lenye utajiri wa zaidi ya dola za kimarekani bilioni 35.

5. Emirates
Ni shirika la ndege la falme za Kiarabu lenye utajiri wa dola za kimarekani bilioni 32.6. Hili ndio tumelikariri Bongo kwamba ni kubwa kumbe sio. Kama watu walivyokariri page maarufu kama Millard ayo kumbe page ya "Dunia Ina Mambo" ndio habari ya mjini na ya kijanja zaidi kwa sasa Tanzania.

6. Air France - KLM(merger)
Ni shirika la ndege la Ufaransa lenye utajiri wa dola za kimarekani bilioni 32.52

7. International Airlines (British Airways)
Ni Shirika la ndege la Uingereza lenye utajiri wa dola za kimarekani bilioni 31.94

8. Southwest Airlines
Ni Shirika la ndege la Marekani lenye utajiri wa dola za kimarekani bilioni 26

9. Turkish Airlines
Ni Shirika la ndege la Uturuki lenye utajiri wa dola za kimarekani bilioni 19.6

10. China Southern Airlines
Ni Shirika la ndege la China lenye utajiri wa dola za kimarekani bilioni 12.9

Hizo dola bilioni ni matrilioni ya pesa ela ya mama kizimkazi

Dunia ipo mbali aisee

Endelea kutufuatilia
 
Attachments

  • FB_IMG_1712995012615.jpg
    27.9 KB · Views: 7

  • FB_IMG_1712995009621.jpg
    36.2 KB · Views: 9

Ingawa mipaka ya Anga imefunguliwa, lakini inaonekana hakuna msafirishaji mwenye mpango wa kupita hizo njia kwa sasa.

Ramani:
Fr24
 
Attachments

  • FB_IMG_1713113964309.jpg
    126.6 KB · Views: 10
Ingawa mipaka ya Anga imefunguliwa, lakini inaonekana hakuna msafirishaji mwenye mpango wa kupita hizo njia kwa sasa.

Ramani:
Fr24
 
An ancient airport?
It is a flat mountain that is shut off from the Nazca Plateau. Just consider how much work it would take to completely chop a mountain. And they used picks and shovels to do all of this back in antiquity?
But why would they require an airport? There is nothing else that it resembles.
 
Attachments

  • FB_IMG_1713158752292.jpg
    61.1 KB · Views: 10
An ancient airport?
It is a flat mountain that is shut off from the Nazca Plateau. Just consider how much work it would take to completely chop a mountain. And they used picks and shovels to do all of this back in antiquity?
But why would they require an airport? There is nothing else that it resembles.
 
..๐—ž๐—ช๐—”๐—ก๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ง๐—”๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ก๐——๐—˜๐—š๐—˜ ๐—›๐—”๐—ญ๐—œ๐—ก๐—” '๐—ž๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ง๐—”' ๐—ž๐—”๐— ๐—” ๐—ง๐—”๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—š๐—”๐—ฅ๐—œ?

Tairi za ndege ni tofauti na magurudumu yanayoendesha gari, hivyo hayana haja ya kukamata lami kwa nguvu 'traction' kama tairi za barabara za tope au mbovu (off-road)
Ila zina michirizi 'thread' inayohitaji kutawanya maji ili kusaidia kuzuia kuelea (hydroplaning) au kuteleza pembeni (Skidding) pale Rubani anapokanyaga breki.
Ni tairi huru (freewheel) ambazo zinahitaji uelekeo wa kwenda mbele tu.
Na zaidi, mara nyingi ndege inapotua huwa na kasi kuliko tairi.
Kuweka 'kashata' 'Block treads' itapelekea kutafunwa, kumegeka au kuweka nyufa haraka sana katika hali hiyo.

Katika utuaji, mzigo mkubwa huelemea kwenye matairi ambayo kashata haziwezi kuhimili pasipo kuanza kukatika.

Tairi nyingi ambazo zinahitaji uelekeo wa mbele zaidi kuliko kukamata barabara zinakuwa na 'tread' za mistari mfano wa tairi nyingi za mbele kwenye pikipiki.

Admin
 
Attachments

  • FB_IMG_1713415373129.jpg
    47.8 KB · Views: 10

Chumba cha Marubani.
Boeing 777X
"Unfold"
 
Attachments

  • FB_IMG_1714320513765.jpg
    105 KB · Views: 10
KENYA AIRWAYS flight number #KQ613 headed to Nairobi from Mombasa aborts landing at JKIA at last minute; plane rerouted back to Mombasa over poor visibility due to bad weather.
 
Attachments

  • FB_IMG_1714323599307.jpg
    19.1 KB · Views: 8
"...๐‡๐š๐ญ๐ฎ๐ฃ๐š๐ญ๐ฎ๐ฉ๐š ๐ฆ๐š๐›๐ž๐ ๐ข ๐ฒ๐š ๐š๐›๐ข๐ซ๐ข๐š"
๐—ฆ๐˜„๐—ถ๐˜€๐˜€๐—ฝ๐—ผ๐—ฟ๐˜ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ.

Kampuni ya kuendesha shughuli za viwanja vya ndege, Swissport Tanzania, imetoa ufafanuzi kuhusu video inayozunguka mtandaoni ikionesha Begi zikirushwa kutokea mlango wa nyuma wa ndege ya shirika la Emirates.
Katika sehemu ya taarifa yake uongozi wa Kampuni yaSwissport Tanzania PLC imesema,

"Tumezingatia tukio hilo lakini ningependa kufafanua kuwa kinachoonekana kwenye clip ni mablanketi yaliyotolewa nje ya ndege kupitia mlango wa nyuma kupitia gari la kubebea mizigo na sio mabegi ya abiria..
Zaidi ya hayo hapo juu, tafadhali kumbuka kuwa Emirates inaendesha Boeing 777-300 kati ya Dubai na Dar es salaam na kwa mujibu wa usanidi wa ndege hii mabegi yote ya abiria huhifadhiwa kwenye kontena za kubeba mizigo."

Imetolewa na uongozi wa Swissport Tanzania Plc.
 
Attachments

  • FB_IMG_1714375499238.jpg
    40.5 KB · Views: 9

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ