Mada maalum ya ndege toka FB

Moja ya miradi ya siri isiyokamilika kutoka Usovieti, ndege ya kusafirisha mizigo mizito aina ya M-52A iliyobuniwa na Ofisi ya Ubunifu ya Myasishchev iliyokusudiwa kubeba kontena kubwa chini na vifaa vizito vya mitambo ya atomiki, vifaa vya utengenezaji wa mafuta na mizigo mingine mizito kutoka tani 100 hadi 500 na urefu wa mita 70 na upana wa kipenyo cha mita 8.
Pichani ni Toi ya mfano.
 
Video ya zamani ikionesha afisa mmoja anayehudumia chini katika la jeshi la anga nchini Marekani alivutwa na injini ya ndege na kunusurika kifo huko Marekani.
Habari zaidi inasema, licha ya kuvuzwa ndani ya Injini, afisa huyo alitolewa na majeraha kadhaa kwakuwa kofia ngumu aliyovaa ilitangulia kuvuka na kwenda kuleta hitilafu kwenye injini hali iliyopelekea kupoteza nguvu na kuzima kabla hajafikia panga zake.

Je, unafahamu nini hutokea endapo mtu akivutwa ndani ya Injini ya ndege inayofanya kazi?
Bofya link chini upate kuona kinachotokea๐Ÿ‘‡

View: https://youtube.com/watch?v=9aYwzUQb1Ks&si=eYaPppDpqjZA3V1L
 
๐—๐—ฒ, ๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—•๐—ผ๐—ฒ๐—ถ๐—ป๐—ด 747?

Abiria kati ya 400 na 500 yaweza kuwa kawaida kupakia Boeing 747, lakini kuna kesi moja, ambapo ndege hiyo ilipakia abiria 1,122 mnamo 1991 kama sehemu ya Operesheni Solomon na shirika la ndege la Israeli El Al likiwahamisha Wayahudi wa Ethiopia kwenda Israeli.

Iliweka rekodi ya abiria wengi zaidi kwenye ndege moja, ambayo bado inashikilia hadi leo.
Kupakia abiria 1,122 kwenye 747, kwa kweli, sio kawaida.
Uwezo wa kawaida wa daraja tatu wa 747-400 ni abiria 416 na abiria 410 kwa Boeing 747-8 mpya zaidi.

Kiwango cha mwisho kinaoruhusiwa na mamlaka nyingi husika ni abiria ni 660.
Kwa Boeing 747-200 (kama iliyotumika katika Operesheni Solomon) ina kikomo cha kupakia abiria 550 tu.

kutoka:
@Aviationforum
 
Attachments

  • FB_IMG_1717922213306.jpg
    92.8 KB · Views: 6

๐Ÿ™Ž Mchina ๐Ÿฅ‹
 
Attachments

  • FB_IMG_1717922356042.jpg
    47.1 KB · Views: 3
Rty
 
Attachments

  • images.jpeg
    49.3 KB · Views: 3
  • images (1).jpeg
    27.1 KB · Views: 3
  • images (2).jpeg
    43.7 KB · Views: 2
  • images (3).jpeg
    37.2 KB · Views: 3
Ethiopian Airlines ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น, is Africaโ€™s;

1. LARGEST airline by countries served, 84 in total, and ranks 3rd globally jointly with Air France ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท

2. MOST profitable ๐Ÿ“ˆ Airline, and in 2021/22, it made a profit of 0.95 Billion USD

3. LARGEST airline by revenue, and in 2022/23, its revenue was nearly 6.2 Billion USD

4. LARGEST airline by Fleet Size, 154 in total (14 cargo and 140 passenger)

5. AIRLINE with the MOST aircrafts on order, currently has 72 Aircrafts on order

6. LARGEST connectivity in Africa, serving 35 Countries in the continent

7. LARGEST airline by passengers carried; in 2022/23, it carried 13.7 Million Passengers

8. LARGEST airline by number of employees; in 2023, it had about 17,000 employees

The Airline in 100% Owned by the Government of Ethiopia

Source :Elijah K.

African hype media
 
Attachments

  • FB_IMG_1717992282173.jpg
    18 KB · Views: 3

Hii ni Airbus A320 ya shirika la Austrian iliyokuwa inafanya safari namba OS434 kutoka Palma de Mallorca kuelekea Vienna-Austria jana ambapo dakika 30 kabla ya kutua, ilikutana dhoruba/mvua kubwa ya mawe na radi ambayo haikuonekana kwenye rada ya hali ya hewa na kufanya uharibifu mkubwa wa pua ya ndege na madirisha ya chumba cha marubani.
Rubani alipiga 7700 na kutua salama, hakuna aliyejeruhiwa!

Hisani ya picha:
Exthamster/X
 
Attachments

  • FB_IMG_1717998893481.jpg
    54.9 KB · Views: 3

"..๐—•๐—ผ๐—ฒ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ผ๐—ฝ๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ต๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ด๐˜‚๐˜‚ ๐—ท๐˜‚๐˜‚ ๐—ธ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐˜„๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ"

Mnamo Agosti 6, 1955 rubani wa majaribio wa Boeing Alvin "Tex" Johnston alizungusha upande nyuzi 360ยฐ (Barrel Roll) kuonyesha uwezo wa Boeing 707.
Ikiwa sehemu ya mpango wa maonyesho, wakati huo rais wa Boeing Bill Allen aliwaalika wawakilishi wa Chama cha Viwanda vya Ndege na Jumuiya ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga kwenye mbio za Seattle za 1955 Seafair and Gold Cup Hydroplane zilizofanyika Ziwa Washington mnamo Agosti 6, 1955.

Boeing 707 (iliyojulikana kama 367-80, iliyopewa jina la utani "Dash 80") iliratibiwa kufanya safari rahisi ya kuruka chini chini kwenye maonesho, lakini Tex Johnston badala yake alitumbuiza kwa mtindo wa "barnstormer barrel roll" kitu ambacho huwa kinafanyika kwenye ndegevita (Fighter Jet) ila si kwa ndege ya biashara ya abiria ya kupakia 140-189.

Siku iliyofuata, Rais wa Boeing, Allen alimwita Johnston ofisini kwake na kumwambia asifanye ujanja huo tena, Johnston akamjibu kuwa kufanya hivyo ni salama kabisa.
Allen akamuuliza: โ€œUlikuwa unafanya nini?โ€ Johnston alijibu "Nilikuwa nauza ndege."

Tex aliendelea kushika nafasi yake kama rubani wa majaribio na hakupata matatizo yoyote ya kisheria kwa matendo yake.

Mtindo wake wa kuruka na mavazi ya aina ya cowboy (Johnston alipata jina lake la utani, "Tex" kwa sababu kila mara alikuwa akivaa kofia yake ya ng'ombe ya Stetson na buti za cowboy alipokuwa kwenye mstari wa ndege)

Unaweza kutazama video husika kwa kubofya link ifuatayo;

View: https://youtu.be/f28cITAXtww?si=C4E18RB0_DGuQO4S
Soga za kweli za Admin
Aviation Media Tanzania
 
#HABARI Ndege ya Jeshi la Ulinzi la Malawi iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais, Saulos Klaus Chilima na watu wengine 9 imetoweka na kutokomea kusikojulikana kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais wa Malawi iliyotolewa leo Juni 10, 2024.

Taarifa hiyo inaeleza kuwa juhudi zote za mamlaka ya usafiri wa anga kuwasiliana na ndege tangu iliporuka kwenye rada zimeshindikana hadi sasa.

Chilima (51) alikuwa ndani ya ndege ya Jeshi la Ulinzi la Malawi iliyoondoka katika mji mkuu Lilongwe saa 09:17 asubuhi na hadi sasa haijapatikana, huku wakiongeza juhudi za utafutaji na uokoaji.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo ndege hiyo ilikuwa imepangwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mzuzu, saa 10:02 asubuhi. #EastAfricaTV
 
Attachments

  • FB_IMG_1718056408006.jpg
    21.1 KB · Views: 5
Hii sio Taswira nzuri kwenu Air Tanzania
 
Attachments

  • FB_IMG_1718799660553.jpg
    78.9 KB · Views: 3
Hii sio Taswira nzuri kwenu Air Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ