mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mashambulizi yanaendelea [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naamini ni kuhisi sio kuona[emoji848][emoji848][emoji115][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashambulizi yanaendelea [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naamini ni kuhisi sio kuona[emoji848][emoji848][emoji115][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha, namiss sana hii kitu,huku nilipo hkn hii asee dahTupo kabisa vipi mzima wewe?.
Hapa natafakari niweke limao au niache. Nina hasira kisichana kimemwagika.View attachment 869851
Safi sana
Dah wapi iyoWanasahau sentensi zao wanahama na majumbani kwa muda, ukiwauliza wanasema mliwanukuu vibaya [emoji851][emoji851][emoji851]...!!! Dahh..!! Anyway ndo tumepumzika chalinze tunastua kutoa uchovu kumi na mbili tunaliamsha....
Nikipata nafasi tukabaki wawili tu namgeuza mchuchu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Kwa hiyo wametoka kujisaidia hata kupandisha sarawili issue, halafu ndo binti anakuletea huyo kukutambulisha kuwa ni mkweo mtazamiwa...!! Kwa uwezo ulionao wa Msata kilingeni utamfanyaje.. [emoji125][emoji125][emoji125]
Kandamiza mwanawaneNlikuwa napigaga ugali na Sato
Sasa mashambulzi yanaendelea
Ova
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikipata nafasi tukabaki wawili tu namgeuza mchuchu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Maili moja bro..!!Dah wapi iyo
Siukasirike tu ulianzishe kaka.Dah mnaninyanyapaa mjue
Halafu hizo za kuweka chini zinashuka ni balaa [emoji12][emoji12]Nami naendeleza huku View attachment 870239
Sure brother, tumetoka mwanza lukwiri tupo na boss wetu. Tunachukua speed ya kufika kituo husikaAcha utani siko mbali na hapo ujue