Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

inategemea uwezo wa injini yako. wengine mbili tu, wengine mpaka kreti tatu.... [emoji12][emoji12]
Mfano Miss Natafuta ukimuonyesha hela anakata kreti mbili na nusu.... [emoji125][emoji125][emoji125]

Hatare sana Miss Natafuta mm kwa wastani huwa ni beer 5. sasa ikitokea nikazidi hapo inakuwa balaa naweza fika hadi kreti alafu zinaamia chini alafu naanza kutoa offer kwa mwanamke atakaye nivutia.
 
Sasa balaa ni pale inatokea umetembea na ATM kadi mfukoni, unaweza kwenda kupigana na watu wa benki siku inayofuata.. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alafu toka uzi huu uwekwe hewani na sisi wapenda kilaji ku share kwa nguvu zote.... mambo yetu humu ndani........tumezaliwa tunyuzi twingine....twa ajabu........ (miscellaneous)....mara eti.... oo uzi wa wanywa juice soda...na kuna kauzi kengine nimekaona leo ....ooh pombe inagombanisha familia....so pathetic
ukiona nyuzi kama hizo ni kwamba wameshindwa kuandika kuuliza: jamani mnapatapataje hizo hela za kugongea ulabu....?[emoji851][emoji851][emoji851]
 
Hahahahahahahahaha, unanishauri nini?
Ukianza kwenda bar, hakikisha unamkabidhi mkeo ATM kadi na simu zako zote halafu mwambie aende kusalimia popote ila asikwambie anapoenda,
Muhimu asiwe anajua namba za siri za ATM kadi vinginevyo mtakutana viwanja na yeye kakusanya vijeba anazungusha raundi [emoji851][emoji851][emoji851]
 
Hatare sana!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] CC stroke
Himeshaanza ngoja nimchokaze mrangi
1537267336405878260038.jpg
 
Bank sasa tumezihamishia kwenye tekno zetu kupona ni nidhamu yako.

Back
Top Bottom