Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hapo ndipo pagumu....yaani hapa nilipo nina hang over balaa...kila siku ninajiambia sintokunywa pombe lakini nakuja kustuka nimeshalewa...hebu nishauri mpenzi
Hivyo ni viapo majuto ya hang over lakini ikiisha papo hapo koo linataka bia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…