Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Usifanye hivyo maana wanaweza kutupatia waziri kichaa ile kwetu.
Katibu mkuu umekuja kuwaje?.
Hapana mapendezo yatatoka kwetu... Kwa mfano tunasema hivi
Sisi walipa kodi number moja Tanzania tunapendekeza Mwenyekiti wetu (mimi)... MAKOFI TAFADHALI[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji123][emoji109][emoji111]awe mwakilishi wetu bungeni kwa ngazi ya uwaziri... Hii imekaaje wakuu[emoji115][emoji115][emoji115]πŸ€”πŸ€”[emoji23][emoji817]
 
Hapo nitaunga mkono hoja kwa kura ya ndiiiiiiiiiiiiiiiiiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…