Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Usifanye hivyo maana wanaweza kutupatia waziri kichaa ile kwetu.
Katibu mkuu umekuja kuwaje?.
Hapana mapendezo yatatoka kwetu... Kwa mfano tunasema hivi
Sisi walipa kodi number moja Tanzania tunapendekeza Mwenyekiti wetu (mimi)... MAKOFI TAFADHALI[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji123][emoji109][emoji111]awe mwakilishi wetu bungeni kwa ngazi ya uwaziri... Hii imekaaje wakuu[emoji115][emoji115][emoji115]🤔🤔[emoji23][emoji817]
 
Hapo nitaunga mkono hoja kwa kura ya ndiiiiiiiiiiiiiiiiiyo!
 
Bado nipo, natafuta kiwanja cha kwenda. Japo nikasuuze macho.
1537723786590.jpeg
 
Attachments

  • IMG-20180923-WA0060.jpeg
    IMG-20180923-WA0060.jpeg
    27.3 KB · Views: 20
  • IMG-20180923-WA0060.jpeg
    IMG-20180923-WA0060.jpeg
    27.3 KB · Views: 19
Back
Top Bottom