Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hiyo hansons choice jana nimeishindwa kabisa,nikaishia kunyonya safari tu.
 

Attachments

  • IMG-20250104-WA0007.jpeg
    1.3 MB · Views: 10
Hii mada haipoi. Nahisi rafiki kipenz Sanday mwakanosa ilimpeleka hii.
 
Kwa kifupi mimi nimeishi mataifa kadhaa. Sikufanya kufuru sana ya ulevi , umalaya. Mengine sifanyi kabisa kabisa yake hasa ambayo sikuyataja.

Nipo pub moja nikipata pombe. Nawaona vijana wa kati ya 26-31 age. Umri wangu huu sikuwa bar kama wao. Nawaona mahandsome boys, na watoto wa kike wamewazunguruka.

Nikiwa na umri wa 27 nilikuwa taifa moja barani Asia. Niliingia club na wasichana wa kichina, ki Lithuania, Russian, Nepal, Bangui nk walikuwa wakitafuta mtu....nilifanikiwaga kupata demu wa kihindi, very beautiful..wahindi baadhi ni warembo sana.

Kwa kuwa nilikuwa mgeni nilimueleza ukweli akanielewa kwamba sikuwa na nia ya kutafuta kahaba. Akasema. What is the point πŸ‘‰ we talk next day.

Hii itaendelea, nimelewa..I can't write properly
 
 
Mtu akilewa anaweza kumwambia yeye ndiye alimwambia Trump agombee Urais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…