Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nimefanikiwa toka ndani naanza countdown
20180923_234144.jpg
 
Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Dah....mshana nmefuatilia bandiko zako hapa jf.....nakubali sana idea zako broh.....max melo mpatie cheo huyu mdau asee...ni mdau ambae ana upeo mkubwa sana...n hayo tu
 
Dah....mshana nmefuatilia bandiko zako hapa jf.....nakubali sana idea zako broh.....max melo mpatie cheo huyu mdau asee...ni mdau ambae ana upeo mkubwa sana...n hayo tu
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Jamani hizi pombe zinanikataa sijui nimelogwa!?

Yani nikinywa nahisi kuumwa nisipokunywa ndio kabisa maisha yanakuwa magumu.

Nikiona mizinga nahisi kichefu chefu. Mshana ebu check file langu kama limechezewa au liko sawa. [emoji2]
 
Back
Top Bottom