Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wakurugenzi walipa kodi kanda maalum ya vilevi njoni maramoja kwa kikao cha dharura
Nina wazo ambalo linahitaji michango na hatimaye ridhaa yenu katika ujumla wetu
Kaliba yetu hii ina uwanja mpana sana wenye kila aina ya vituko... Mnaonanaje kila siku moja tukawa na mada moja na kila mtu akichangia kwa uzoefu wake...
Mada za kuanzia
. kuchomekewa bili
. kuondoka na mhudumu[emoji85][emoji85][emoji85]
. kuibiwa gesti kwa sababu ya ulevi
. kunywa flat beer nk nk
Nasubiria baraka zenyu


Nakala kwa katibu
 
bila kusahau kuzima
 
Umesomeka vzuri mwenyekiti....

Ova
 
Nimekaribia ndugu mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…