Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nipo mwenyekiti

Kutoa round kesho yake majuto baada ya kucheki mfuko huna hata ya supu
Wakurugenzi walipa kodi kanda maalum ya vilevi njoni maramoja kwa kikao cha dharura
Nina wazo ambalo linahitaji michango na hatimaye ridhaa yenu katika ujumla wetu
Kaliba yetu hii ina uwanja mpana sana wenye kila aina ya vituko... Mnaonanaje kila siku moja tukawa na mada moja na kila mtu akichangia kwa uzoefu wake...
Mada za kuanzia
. kuchomekewa bili
. kuondoka na mhudumu[emoji85][emoji85][emoji85]
. kuibiwa gesti kwa sababu ya ulevi
. kunywa flat beer nk nk
Nasubiria baraka zenyu

Nakala kwa katibu
 
Wadau hii inatuhusu hii ,mwenyekiti hoja binafsi hii
IMG-20180926-WA0036.jpg
 
Wadau hii inatuhusu hii ,mwenyekiti hoja binafsi hii View attachment 878695
Tatizo wametubana muda wa kunywa pombe
Yaani unawapangia watu wanywe kuanzia saa kumi mpka saa Sita kamili usiku...
What do expect hapo zaidi ya loss waachee watu watu wanywe mpaka kukuche atakayekuwa na majukumu asubuhi atawashulikia kulala tu na asiyekuwa na majukumu atakesha

Ova
 
Wakurugenzi walipa kodi kanda maalum ya vilevi njoni maramoja kwa kikao cha dharura
Nina wazo ambalo linahitaji michango na hatimaye ridhaa yenu katika ujumla wetu
Kaliba yetu hii ina uwanja mpana sana wenye kila aina ya vituko... Mnaonanaje kila siku moja tukawa na mada moja na kila mtu akichangia kwa uzoefu wake...
Mada za kuanzia
. kuchomekewa bili
. kuondoka na mhudumu[emoji85][emoji85][emoji85]
. kuibiwa gesti kwa sababu ya ulevi
. kunywa flat beer nk nk
Nasubiria baraka zenyu

Nakala kwa katibu
. Ya kwanza tutakua wengi sana.
Leo nilitoroka kwa mume nikalutana na balaa.
 
Back
Top Bottom