carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,259
Dah! Jamaa alikuwa anatupia coin mule...sasa ukienda kuchagua wimbo hadi uje kupigwa ushakuwa wa juzi tayari...hasa kwa sie tunaokunywa vya kulaza juu ya meza.hhhahaha nimeicheza hatar enzi tupo chuo...