Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Sanduku la kura kwanza. Mimi nagombea mweka hazina ila mpaka kwenye simu yangu tuuu. Sina sim card nyingine ni airtelmoney.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji144][emoji144]🤔🤔
 
Wakuu saa kumi hyo mpaka nimetabasamu...mkuu wa nchi anatutesa adi saa kumi kwel na kodi tunapiga donation....! ila mateso ndo yanaisha mda huu
Cheers"
Kunakuchwa... Bado kidogo kutapambazuka...!!!!
 
Back
Top Bottom