Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wanywa vitamu bwana... Angalia kumbe zao.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nlitembea mkuu,sema njia nilizopita hadi nafika home sikumbuki,asubuhi napokea simu ya Manager kuna Nina kimeo Cha 9000/=,anadai nilivyolewa wakanifata niwalipe nikagoma bahati nzuri Ni sehemu najulikana wakasema kesho nitawapa tu
Hahahahahah alafu hyo sisi wanywaji inatukuta sana unaingia ndani kwa his ia hujui kitu chochote [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Hahahahahah alafu hyo sisi wanywaji inatukuta sana unaingia ndani kwa his ia hujui kitu chochote [emoji23] [emoji23]

Ova
Niliwahi kupiga konyagi kubwa kadhaa pale safari carnival ,nilikua nakaa mikocheni B, flat za BIMA siku kuna chuo nasikia, sijui nilifikaje ,

Barabara nilivukaje sijui ,mbaya zaidi sikuruka dimbwi la maji hata moja,nilizima sebuleni na kipaseli changu cha chips kipaja pembeni niliviona asubuhi
 
Duh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pale kwa mzee shangaa marehemu
Kuna binti yake chap ombe balaaaa anaitwa patricia unampata
Pale waliniibia pikipiki yangu kitambo sana xr 250

Ova
 
Mikochen nishalewa sna kwa mzee mkonyi
Pale na Foster's

Ova
 
Duh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pale kwa mzee shangaa marehemu
Kuna binti yake chap ombe balaaaa anaitwa patricia unampata
Pale waliniibia pikipiki yangu kitambo sana xr 250

Ova
Naam kwa Mzee Shanga ,
R.I.P Dada Patricia best angu na hizo konyagi tulikua wote ,Mkuu me nilimuacha anaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…