platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Mrangi unaujua mji balaa.Mudy punky si amemuoa mtoto wa mzee majungu Naskia nyumba wame uza au imechukuliwa na bank
Namjua mudy punky kitambo mke wake alimpangishaga jamaa yangu mmja pale wakala kodi ya mwaka jamaa yangu Haku ingia tuliwaletea mtiti sana pale
Ova
Halafu mkikaa sehemu mnapiga mambo na waliokwisha fanya vurugu mji huu huboreki, unaweza stuka umemaliza kreti, stori juu ya stori