Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Kwema kazi na dawa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Nlikuwa nakuja na xr250 alafu naendesha nikiwa napiga kilaji basi mzee Mkonyiz akawa ananionyaga kijanaMitaa yangu hy Mkonyiz now ni mebs ,R.I.P Mzee Dr Mkonyi
Forsters zamani vijana club. Hahaha nimeishi kule miaka kibao
Mkuu nimekaa huko nishindwe kumjua mrefu whiteUnamjua mudy punky
Ova
Tangu 1977 mambo yameanza mapema hiviMwenyekiti nami nimefika kilingeni , nafurahia matunda yetu ya bia tangu 1978
Mzee Mkonyi amefariki Mzee Wangu yule , we jamaa nimekukubaliNlikuwa nakuja na xr250 alafu naendesha nikiwa napiga kilaji basi mzee Mkonyiz akawa ananionyaga kijana
Nlipataga ajali mbaya sana tangu siku hyo mpk leo pikipiki sitaki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
NamjuaaMzee Mkonyi amefariki Mzee Wangu yule , we jamaa nimekukubali
Mkuu tunatafuta pesa so siku ukiamua kuzitumia unatumia tu haina kuwazamhhh una shida gan kwan !au ww hapo ndo starehe yako
Kuna mzee mmoja alikuwa mtu wa magari na pikipiki ana watoto vichotara hviMzee Mkonyi amefariki Mzee Wangu yule , we jamaa nimekukubali
Kule wamefariki wazee Wangu wawili na Dada Patricia ,wenyewe walikua wananiita Son,Mzee Mkony na Mzee Meda ( huyu tulishamjadili humu JF na Mshana Jr , wote ni members walikua wa Mkonyiz sasa MebsKuna mzee mmoja alikuwa mtu wa magari na pikipiki ana watoto vichotara hvi
Jina nimeisahau naskia kavuta
Ova
Mzee meeedaaa DahKuna mzee mmoja alikuwa mtu wa magari na pikipiki ana watoto vichotara hvi
Jina nimeisahau naskia kavuta
Ova
R.I.PMzee meeedaaa Dah
Ova
Nilisikiaga yule nlikuwa namuziaga sana moto pikipiki zile za hatare [emoji23] [emoji23] [emoji23]R.I.P
Mudy punky si amemuoa mtoto wa mzee majungu Naskia nyumba wame uza au imechukuliwa na bankR.I.P
Sawa sawa ,mudy punky mshikaji sana tuMudy punky si amemuoa mtoto wa mzee majungu Naskia nyumba wame uza au imechukuliwa na bank
Namjua mudy punky kitambo mke wake alimpangishaga jamaa yangu mmja pale wakala kodi ya mwaka jamaa yangu Haku ingia tuliwaletea mtiti sana pale
Ova
TBL inatakiwa wakupe Golden award Katibu wetuMudy punky si amemuoa mtoto wa mzee majungu Naskia nyumba wame uza au imechukuliwa na bank
Namjua mudy punky kitambo mke wake alimpangishaga jamaa yangu mmja pale wakala kodi ya mwaka jamaa yangu Haku ingia tuliwaletea mtiti sana pale
Ova
Hahaha, Mzee ilikua ukimzingua anakuzingua zaidiNilisikiaga yule nlikuwa namuziaga sana moto pikipiki zile za hatare [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Biashara moja alinizunguaga ahhh
Ova