Ahhh nlichomekewa bill nkarudi kulipa [emoji23] [emoji23]Hahaha lipa deni we Mzee ,muhudumu mmoja alifariki
HahahaAhhh nlichomekewa bill nkarudi kulipa [emoji23] [emoji23]
Ova
Salute kwako Mkuu
Kwahiyo inacancel kuwa furaha wakati wa msiba ukiwa uko tiiip na baunsaSifa 2 za Konyagi usizozijua, kuwa na hasira sana wakati wa msiba na kuwa na furaha sana wakati wowote unapokunywa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo inacancel kuwa furaha wakati wa msiba ukiwa uko tiiip na baunsa
Krippy KushStarter Pack kischana on fleek.... next
Tomu noma, sherehe inazidi kunoga [emoji23][emoji23][emoji23]Naenda kubadili. Nina XL engine BM 30 namcheki urio soon tunazama ushenzini
Heshima kwa tomuTomu noma, sherehe inazidi kunoga [emoji23][emoji23][emoji23]