Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kula beerrr shabash. Hatulewi na kesho tunaenda kumkamua muhindi.... sio kubeti. Sisi ni wataalamu wa mitambo....
 

Attachments

  • IMG_20180928_230434.jpg
    205.6 KB · Views: 24
Kule wamefariki wazee Wangu wawili na Dada Patricia ,wenyewe walikua wananiita Son,Mzee Mkony na Mzee Meda ( huyu tulishamjadili humu JF na Mshana Jr , wote ni members walikua wa Mkonyiz sasa Mebs

We utakua unamsema my Dad Mzee Meda ( km sijakosea)
Kumbe ndio yule mzee kiboko ya Majembe?
 
Mudy punky si amemuoa mtoto wa mzee majungu Naskia nyumba wame uza au imechukuliwa na bank
Namjua mudy punky kitambo mke wake alimpangishaga jamaa yangu mmja pale wakala kodi ya mwaka jamaa yangu Haku ingia tuliwaletea mtiti sana pale

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunatoka na mb 30 XLR dereva urio kashalewa nyagi na serengeti zake tuombeeni. Tunaenda 40 40 tabata.
NB;
Sisi ni wakazi wa tabata
Tunawaombea kabla hamjafika kwanza mpate one for ze rodi afu yule ajalewa sana aendeshe, hakikisha unazo za akiba kwenye gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…