Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Safari yenye lager zake ft. Shada yenye stimu zake. Tunaenda site soon.lazma muhindi atoe hela leo tulewe. Iyo inaitwa morning starter pack.
 
Attachments

  • IMG_20180929_084126.jpeg
    IMG_20180929_084126.jpeg
    91.9 KB · Views: 23
Safari yenye lager zake ft. Shada yenye stimu zake. Tunaenda site soon.lazma muhindi atoe hela leo tulewe. Iyo inaitwa morning starter pack.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Aisee nimerudi mida ya wanga nina chupa nusu ya pombe sijui niliibebaje hadi ikafika. Hapa naishtua kisha naenda kupata ya kuzimua zaidi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mida ya wangaaaa Hahaha

Ova
 
Back
Top Bottom