Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ni hatari sana maana sisi walevi/wanywaji Mara nyingi tunarudi kwa hisia makwetu
Mimi wakati nakunywa siendeshi Gari kabisa
Wala sigusi maana niishapata ajali mbaya sasa na nikajifunza

Ova
Sasa na mimi wa safari zausiku unanishaurije?. Maana hapa nalipuka nikalale saa 11 natakiwa nikazikusanye tena ili nisikose vikao vya kodi kesho.
 
Napambana na Hali yangu
1538216451342.jpeg
 
Sasa na mimi wa safari zausiku unanishaurije?. Maana hapa nalipuka nikalale saa 11 natakiwa nikazikusanye tena ili nisikose vikao vya kodi kesho.
Mtafute mtu aku.drive maana mm nilipataga ajali mbaya sana sana Mpaka leo
Wakati nakunywa sigusi vyombo vya moto

Ova
 
Mtafute mtu aku.drive maana mm nilipataga ajali mbaya sana sana Mpaka leo
Wakati nakunywa sigusi vyombo vya moto

Ova
Sasa siatahitaji malipo na malazi?.
Unafikiri napenda kujichosha ni hesabu zinagoma katibu.
 
Back
Top Bottom