kisikiji
JF-Expert Member
- Feb 2, 2015
- 2,530
- 2,494
Sasa na mimi wa safari zausiku unanishaurije?. Maana hapa nalipuka nikalale saa 11 natakiwa nikazikusanye tena ili nisikose vikao vya kodi kesho.Ni hatari sana maana sisi walevi/wanywaji Mara nyingi tunarudi kwa hisia makwetu
Mimi wakati nakunywa siendeshi Gari kabisa
Wala sigusi maana niishapata ajali mbaya sasa na nikajifunza
Ova